@imperialjulius7: #2000 kwa jili ya mahari#meddy#meddy icon#fyppp

Meddy
Meddy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 07:40:57 GMT
122041
4384
277
1045

Music

Download

Comments

quizchi6
@chi 🫦 :
Elf 2000 jmn nachok mm
2026-09-29 17:42:21
0
rajeshy33
sudi :
safi sana[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-28 08:56:19
0
ayhan10509
ayhan💞🥰 :
kwani inaruhusiwa jmn kutaja kihasi? 😳
2026-09-27 05:56:26
42
djjumascratch
Djjuma scratch🎧🎶 :
Two thousand 🤸🏻🤸🏻
2026-09-29 17:14:54
0
hajra9204
SULEY SCARF. FASHION :
elfu moja mmoja mbil au sjjaelewa😅😅😅
2026-09-27 16:38:28
22
husnahhussein223
Husnah kibinti official 💞 :
haya wale wakina husna
2026-09-26 09:33:08
21
faidha.2611
fa🤪 2611 :
jaman sio dola niefumbili ambayo ukiichenji kutoa miambili inabaki afumoja 1800
2026-09-27 17:04:05
12
da.hu3044
da hu :
Jaman watueleweshe Jaman Salima Husna wenzangu mko wap ni pesa ya tz Kenya am America
2026-09-27 15:36:26
8
user94504881587401
Dijjah :
huwa haitajwi kiasi jamani ...tumesoma dini kiasi hata kama tumekimbia fimbo za chuoon 🤣🤣
2026-09-28 05:25:47
8
displaygasper
Display Gasper :
hivi ndoa itadumu na haitavunjika kamwe. Sote tuseme Amen
2026-09-29 14:49:33
9
hassaniabdahlngac
Hassani Abdahl Ngachawa :
baba mkwee yupo mwengine nije
2026-09-29 18:11:54
1
husnamikingi
Husna mikingi :
wajina kwann lakin
2026-09-27 19:18:22
2
peace.hd
AMANI• #PC#√*$€G :
familiia zenye pesa izo
2026-09-28 10:15:35
0
user3783481854526
Ecstasy G :
dola 2000 jamni🤣🤣🤣
2026-09-27 11:35:54
5
imnithaiva
FX_nana📈📊 :
Ef2 labd ziende nguo zangu stok kwetu walai 😂😂😂
2026-09-28 19:04:20
0
win.wash7
win wash :
hii habar ya kusema nimekuozesha kwa mahar kias kadhaa sio vizuri kwani ukisema nimekuozesha kwa mahar uliyokubaliana inakuwaje jaman wenye elimu na hil naomb unifamishe apo shekh yupo sahihi
2026-09-27 19:47:19
2
therealrahooma_
RAHOOMA :
labda ya kenya nyie😂
2026-09-28 13:29:30
0
mymunajuma348
monalixa🎀🎀 :
tuliokimbilia kwenye comment tujuane😂😂
2026-09-28 12:36:37
2
officialgrapes
PRETTY_G🦋🥀 :
Elfu mbil au Dila Mbil au n Kny shlng Me Stak bhana😂😂😂
2026-09-28 15:47:42
0
salhayux88o
Sasha :
ndio inaruhusiwa kutaja sio dhambi ila apo elf 2000 ya mwaka gani hii😁
2026-09-28 16:04:52
1
emmysiaba28
Amina beuti salon :
elfu mbiri yakitanzania au ya wapi kwanza nijue
2026-09-28 08:15:05
1
gmimports.tz2
GM IMPORTS :
elfu 2 hii hii au nachoka mie
2026-09-27 18:55:37
1
chabby0380
chabby :
mahari hayajwi lkn wakat wa kuozesha et. unatakiwa kusema kwa mahari mulio kubaliana co utaje kias cha mahari
2026-09-27 09:06:04
1
nassirarashid
Nasra :
Mahari ni yamwanamke Kwa hiyo wanakubaliana na mwezie sema kakosea angesema waliyo kubaliana
2026-09-28 13:59:13
3
executive.5311
Accessories :
una bint mwingne mkuu
2026-09-27 21:03:17
2
To see more videos from user @imperialjulius7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About