@kawanga18m: Tumefunga ukurasa wa kijana wetu john (Abdul malik)❤️🙏 Tumefanikiwa kumtoa Kariakoo, kwenye maisha ya shida, mitihani na ulevi, na sasa yupo Soba. Mungu amelifanikisha hili kupitia sisi sote. 🙏❤️ Natoa shukrani zangu za dhati kwa Madam Pilli. @pillimissanah_sober_house Yeye ameamua kulibeba hili na kumsaidia mtoto huyu moja kwa moja, bila kujali chochote. Alisoma comments za mashabiki waliokuwa wakimuomba amsaidie huyu mtoto, na akaamua kuchukua hatua. Ahsante sana Madam 🙏❤️ Mungu pekee ndiye atakayekulipa kwa moyo wako huu. Pia ahsante sana Madam Brembo @naswiat_natural_brembo ❤️🙏 Umetoa pesa nyingi sana kuhakikisha maandalizi ya huyu mtoto yanakuwa rahisi. Mungu akulipe sana, aisee. 🙏 Na mwisho, nawafanyia shukrani kubwa sana Watanzania wote kwa support yenu kwangu na kwenye video zangu. Mnanisapoti, mnalike, mna-comment, mnanipa ushauri na hata mnanisukuma nisiache. Nyinyi ni watu wa thamani sana kwangu. 😭❤️🙏 TUMEFUNGA UKURASA WA JOHN. ❤️ ZAMU YA WARDAH… 🙏❤️
Kawanga18M
Region: TZ
Monday 31 August 2026 07:46:06 GMT
Music
Download
Comments
sasha :
Huyu mama ana asili ya kihindi ama
2026-08-31 14:09:54
26
asia fashion Dubai collection :
Kwan hiyo soba haina milango kuzuia wasitoke au security
2026-08-31 08:26:47
9
HS..IT :
Kawanga una moyo wa dhahabu, respect sana bro. Allah atakulipa kwa wema wako❤️❤️❤️
2026-08-31 08:01:32
110
Mr & Mrs Said :
kawanga na mm Nina mtoto anachangamoto kama ya huyo kijana naomba msaada wako
2026-08-31 10:00:43
27
tee40baby💕🤍 :
Wa kwanza Leo 😂😂😂
2026-08-31 07:49:31
29
Mvp L$ :
Kawanga una kiti chako Mbinguni kaka maana Daah huyu dogo umepambana sanaa
2026-08-31 08:12:36
16
Tausi Ramadhani :
ivi soba uwa kuna malipo?
2026-08-31 12:12:18
6
jamani me naomba kuuliza gundi ni nn?
2026-09-01 09:05:51
3
Esmahnoor🧕🏻 :
Huyu mama anaongea kama mume wake happy 😊
2026-08-31 11:46:52
4
sauda :
jamani si wampe hata mamayake
2026-08-31 10:11:15
1
Johnaminah :
Bro appreciate ue but still na moyo huo And all in all God be with you my Brother
2026-09-04 07:04:43
1
user4006946569609 :
Kila nikiangakia Post zake Jony huwa nalia nalia bila kikomo😭😭😭,Mungu tulindie watoto wetu
2026-09-01 08:37:35
2
Jasmin Ramadhani :
mama anaasili gani jmn mbona nashindwa kuwaelewaaa
jonh au Abdul Malik
2026-09-01 14:16:14
0
Mameritha :
pia Mimi napenda kumshukru saaana fundi miguu amekuwa na nyie bega Kwa bega kwenda mwanza na kurudi na mengine mengi siku nikipata nafasi yakufika dar nitafika dukani kwake ninunue hata kiatu tuko pamoja saaana
2026-08-31 08:07:25
6
user37881092045302 :
Asante dada pili misana
2026-09-02 07:16:16
2
Mwasiti :
mashaallah kak
2026-08-31 18:57:57
1
Steddy munisi :
broo mungu akubariki sana una moyo w kipekee mnooo🤔
2026-09-01 13:15:24
1
A.p.m :
Bro Usifunge Kurasa Ya Huyu dogo Tunaomba tumuone Baada ya Soba👍
2026-09-05 14:01:29
1
nyabusu :
John ameanza kupendeza
2026-09-01 10:27:26
1
Mamie@2025 :
Barikiwa sana jamani, naomba uendelee kumfatilia tunatamani siku moja tumuone akiwa amepona kabisa
2026-08-31 11:02:36
4
Malkiya❤️💕 :
kawanga mungu akubaliki sana
2026-08-31 08:02:53
4
Ipt Salim :
mtot wang k/koo mungu akusaidie sana jamn🥰
2026-08-31 09:25:05
4
zabang🌍 :
daaa sawa kaka
2026-08-31 08:00:22
4
mamuh one :
ila kawanga kaka mungu atakulipa maana huyo kijana duuh ni msumbufu na anafulahisha sana mda mwingin ila pongez kwako maana umejitoa sana kwa ajili ake
2026-08-31 12:08:49
3
Bahati Mrope :
YOTE kwa yote Mungu akubariki kawanga usichoke kutenda wema Mbinguni unataji yako tenda wema kwa mwenye kutaka kutendewa wema
2026-09-02 05:08:33
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm
homepage.