Mtoto wa dada angu nikiwa form 4 teye form one, alikua anakuja anasimama mlangoni anaita mamdogooo bibi kasema nikuletee huu mwindi😂😂😂😂 hadi darasa zina wakaanza kuniita mamdogo😂😂😂😂😂
2026-09-01 06:14:41
519
Jasmine🥰 :
ila we dada unanikosha
2026-09-04 20:03:38
0
Prisca Mendez :
Yaan nikirud nyumban naweza mpa kichapo mpaka achanganyikiwe😅😅
2026-08-31 09:41:15
339
cratus tz :
bora hata ameanza na salam
2026-09-03 14:32:33
0
fiter girl :
mimi mtoto wa dada angu alikuaga anakuja anasimama mlangoni alafu ndani kajaradia gauni ref kuzidi sare ya shule🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁
2026-09-01 09:17:29
228
𝐂𝐨𝐧𝐬𝐭@𝐧𝐓 🦅 :
vi form five hvyo 😂😂
2026-09-03 17:36:35
0
Angel Dee Cute :
sasa mbn huyu mama philipo anagusaga mulemule mm nashindwa kuelewa
2026-08-31 08:32:35
196
Mocter queen💕💕 :
Nmekumbuka nilikuwa darasa la saba mimi na mdogo wangu yeye alikuwa darasa la pili sasa tulivyo kuwa tunatoka nyumbani tulikuwa tunabeba wali wa jana usiku mimi ndio nilikuwa nakaa nao uwiih ikifika mida ya kula sie tupo darasani anakuja darasani analia ana njaa naomba wali 😂😂😂🫴🏼aibu
2026-09-01 21:38:35
90
tenacity☺️🤟🤟 :
nakupenda sana mama philipo
2026-08-31 08:00:08
98
janelle :
siji shule mwezi mzima 😂😂😂 staki aibu ndogo ndogo 😂😂😂
2026-08-31 10:49:56
93
Gift Gamassa :
Wang alinifuata nikiw na rafiki zang home akasema lile sufuria la uji unalamba au niweke maji aiseee nili mbondaaah😂😂😂 veep
2026-09-01 18:07:46
52
Crister♉️ :
Mimi wangu alikuwa anakuja kulala mlangon njaa ikimuuma😂😂😂 adi mwalimu anasem nend kamchukulie mihogo nitalipa🙌😂
2026-08-31 09:25:19
68
Mamy Shop :
dada Ang alikuwa akinificha chini ya dawat ili ty nimsubili mpk saa 8 tuondoke wote😂😂😂
2026-08-31 20:05:23
10
@idah2696 :
sisahau mtt wa dadaangu alienda darasan kwetu akasema nimekua mwari nimepelekwa kwa mamaake sitokuja wik nzima 😌 narud nakuta darasa zima linahabar km nimeikua mwar😂
mm nilivokuwaga darasa la pili sijui kwann mama alikuaga anakuja mda wa mapumziko darasani kwetu anamchukua na mdogo wangu na chupa ya uji wa ulezi ananimimnia ananisimamia niunywe hadi nimalize basi wanafunzi wezangu wananiangalia nilikuwa najiskia aibu
2026-09-03 15:33:32
5
oliver baby♥️💓♥️ :
mtóto wa mama angu mdog alikuwa anakuja ananambia dada tumekubakishia kiporo cha ugali na kisamvu kipo jikon kwenye sufuria wakina mama wapo shamba mda uwo yeye kaja shule saa4 😂😂😂
2026-09-01 16:09:54
11
nah j :
Me mdogo wangu alifata darasan ety mama kasema viombo vinakusubiri nyumban
2026-09-02 05:00:52
7
chuba :
ndogo wangu kila nikiwa kwenye kipindi ndo anakuja kudai hela yake ya kununuwa mihogo na kachori na anatabia ya kuchungulia dirishani. ilo aonekane mpaka naona aibu na ukimkataz anarudia kama anapotez kumbukumbu🥰😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅
2026-08-31 18:49:52
7
Happy 😃 Amiialex :
sijuih nitamfanyah ninih huyoh dg af naam shuleh
2026-08-31 08:01:29
23
aviihair43 :
hii ni kweli 🙌 kbs ndugu yangu akuosha vyombo mama akabeba beseni anapeleka shule akavioshee huko huko 🤣🤣 shule aikua mbali na nyumbani wenzie wakamuwahi kumwambia kua bibi Ako anakuja analeta besen uishe vyombo alitoka mbioo kumuwahi🤣🤣🤣
duh umenikumbusha mbali sana ilikua adi walimu wakawa wananionea huruma 😁😁make wadogo zangu mara wankuja unaitwa namwalimu kwenda surualii aina zibu mwingnee amkuja miguu Ina masinzi ,,,....mwingne ameweka boboro kweny bag madftari yameloa Yani 😁😁😁😂😂ad walimu wakasema Mungu akulinde ila saiv nauza boksa na chupi za wadada Niko Arushaa 😅😅
2026-08-31 19:08:14
13
To see more videos from user @mamafilipo1, please go to the Tikwm
homepage.