@chipupute8: DAGAA (OMENA)๐๐ฅ Kama dagaa walikufanya ukaapa hutawahi kula tena ๐ ngoja ujaribu recipe hii kwanzaโฆ huenda tatizo lilikuwa mpishi, sio dagaa ๐ญโค๏ธโ๐ฅ Ingredients ๐๐๐ฝ ๐ Dagaa ๐
Nyanyachungu (ngogwe) ๐ฟ Bamia ๐ซ Hoho ๐ฅ Karoti ๐ง
Kitunguu ๐ง Kitunguu saumu ๐ถ๏ธ Pilipili nzima ๐ Limao ๐ง Chumvi ๐ Fish masala ๐
Tomato paste (optional) ๐ข๏ธ Mafuta ๐ฟ Gome la mdalasini au mchaichai โ kwa kuchemshia dagaa Sisi leo tumekula na wali ๐๐ฅ Wewe utamla na nini? #chipupute #Dagaa #TanzanianFood #SwahiliFood #MapishiYaKiswahili
Chipupute8
Region: TZ
Monday 31 August 2026 08:00:51 GMT
Music
Download
Comments
๐ฆ๐งธNaj de sweet๐งธ๐ฆ :
me and 99 others
tunamezea mate
2026-09-01 11:16:14
2
๐จlinnah ๐ค๐ค :
mbna amjanambia ameludiii jamaniii๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-31 08:48:58
31
@_MeGa003 :
vichambo vichambo๐
2026-09-01 10:20:21
1
faithiengollo :
Welcome back our dear Chipu๐ฅฐ
2026-08-31 16:12:32
2
THE FAME๐ :
hivi haya maneno unatolea wapi๐๐๐
2026-08-31 10:06:20
71
MICKDAD :
Chipuputeeeee
2026-08-31 09:57:06
2
Abby-cute :
shata mkaango๐๐๐
2026-09-01 13:49:56
1
salima :
Boss namkubali sana ๐๐๐๐๐
2026-08-31 17:15:41
4
Llylan :
hayo maneno na wew mwenyew haviendani too funny๐คฃ
2026-08-31 10:41:51
11
Moggana312 :
unanikosha kwakwel nimekosa kua mpenzi wako me naomba uwe rafiki angu tu sasa rafiki wa kudumu๐
2026-09-01 11:27:07
2
โค๏ธkiddoh๐ฅฐ๐ฆ :
Aaah chipupute ๐๐๐๐พ kiukweli nime yapenda majina matatu ya bamia ๐๐๐๐พ
2026-08-31 08:46:31
14
Tripple N momy ๐ :
Zarau dagaa ulale njaa
2026-08-31 15:34:33
2
แฅซแญก :
Yoh the best ๐ค๐พ
2026-08-31 13:58:20
2
Bea :
Kwann nabii wa ufufuo ๐๐๐
2026-08-31 16:53:22
4
ash baby :
wa kwanza leo๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-31 08:05:34
7
Senior Joe :
nabii wa ufufuo๐
2026-09-01 10:11:04
1
Ukhty Shuu meโค๏ธโ๐ฅ :
na kachoshwa hasaa
2026-08-31 08:09:08
6
Suleiman 90โs :
Kaka kuna mtu kanichokoza naomba uje kumsema
2026-09-01 13:01:19
1
Noreenmtui :
nlikumiss
2026-08-31 14:57:24
2
TEEH๐ค๐ธ :
swaum kijuba ๐๐๐
2026-09-01 05:10:18
0
Tunu Nyombwe :
swaumu kijuba๐คฃ๐คฃ
2026-08-31 11:02:51
2
lusinamacha :
chipu zawadi ziko wapiii๐
2026-08-31 13:20:20
2
To see more videos from user @chipupute8, please go to the Tikwm
homepage.