Uzanzibar unaingia vp?Mapinduzi yalihusu ukombozi wa nchi,2000 wanaharakati walipiga kelele juu yaliyotokea Zanzibar kuomba IGP ajiuzulu,Inayosemwa ni Taasisi si Mzanzibar wala mwanamke..Vifo si jambo la kushindanisha wapi waliuwawa wengi..Kwani Fatma Karume alivyokuwa akimsema Magufuli ilikuwa ni kwa sababu ya Utanganyika wake au ni moja ya harakati ya kudai haki?
2026-08-31 14:43:16
1
pwelamikoy :
ni sahihi umenenA
2026-08-31 14:05:16
1
alisaleh1223 :
hilo lipo wazi tunalijua Wazanzibar
2026-08-31 09:51:27
1
user4741493943374 :
iyo ipo wazi kaka wanateseka sana ila yataisha tu
2026-08-31 08:36:31
1
zola 1234 :
Hivi hapo brother imetajwa Zanzibar?Rais Ali Mwingi alitokea wapi?NAO tafsiri Yako sio nzuri?mbona wanaharakati walikuwa wengi tu kipindi Cha Magu?acha kufanya mrtizamo wako kuwa wa watu wengine
2026-08-31 14:34:25
0
Khabil Og :
Unaumia
2026-08-31 13:34:27
0
young kibo :
hujamuelewa profesa!!!!!
2026-08-31 15:50:41
0
Saeed_In_Focus :
Subhanallah
2026-08-31 13:39:21
0
✍️Ntahondi :
Si kweli,
2026-08-31 14:27:12
0
Twetwe :
Baba hakika umechoweyaa!
2026-08-31 13:58:56
1
Eddie785 :
Kumbe kawaida tu nchi nyingi yametoka sio mbaya
2026-08-31 14:37:15
0
user4942610691661 :
nilichudundu ni ulofa wa mwalimu wako wa sailcolog
2026-08-31 14:44:17
0
KGB SURVIVALIST :
Hahahahhahaha we unawafuatisha Mzee Warioba na Tibaijuka.! Hao ni wanaharakati.
2026-08-31 15:59:18
0
user7618872753045 :
ndio mujue hawa sio wenzetu tunaajipendekeza kwao t
2026-08-31 15:59:12
0
DWS Semfuko :
Kwani ni mara ya kwanza mzanzibar kuwa pale?? ni uelewa wako ndio inakupa hiyo tafsiri. lkn sio.
2026-08-31 15:50:28
0
Ramadhan Ramadhan :
hivyo hapo anataka kujivua uhusika wa mauwaji ambao serekali y tanzania ilifanya kipindi hicho yeye akiwa mmojawapo wa vio going wakuu w hii nchi n anachokilaum sasa n sawa n kile yeye alihusika kukifanya
2026-08-31 15:22:37
0
yohanankwabi7 :
Kwa mjibu" psychology" na wewe umekasirika? kama hujakasirika, tunakusubiri ukasirike!😂😂😂
2026-08-31 14:53:56
0
oi :
tatizo ni udini
2026-08-31 16:27:14
0
comas :
kwani unazanihuymmaniwezo
2026-08-31 14:13:44
0
Ramadhan Ramadhan :
political motivated killings hapa tanzania zilitokea mwaka 1995,2000,2001,205,20i9,2015,2020 hivyo prophesy asisome malaria tu ashuke chini aone yeye kama waziri aliehudumu miaka hiyo kile walichokifanya katik kuhusika n huo uwaji
2026-08-31 09:02:36
1
DITADORO :
Maranyingi historia inatueleza kuwa chanzo Cha machafuko mengi ni wasimi wenye ubinafsi
2026-08-31 16:55:10
0
To see more videos from user @abuu.umaymah, please go to the Tikwm
homepage.