@jwtz80: Sehemu ya KWANZA. ~~~~~~~~~~~~~~~~ Tunaanza kudodosa kwata, doso na mapigo na mwendo ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), mwaka 2024 wakati JW inatimiza Miaka 60 tangu kuanzishwa kwake, Kurugenzi ya Habari na Uhusiano ya Jeshi iliaandaa makala mbalimbali kumulika miongo sita ya jasho, nguvu, ujuzi na safari nzima ya chombo hicho muhimu kwa ulinzi wa taifa. Miongoni mwa makala hayo ni kuhusu Kamandi Sita za JWTZ. 1. Kamandi ya Jeshi la Wanamaji 2. Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu 3. Kamandi ya Jeshi la Anga 4. Jeshi la Kujenga Taifa 5. Kamandi ya Makao Makuu ya Jeshi 6. Kamandi ya Jeshi la Akiba Tuanze kuzifahamu aste aste walau kwa uchache! KAMANDI YA JESHI LA NCHI KAVU, inafungua lango la maarifa haya adhimu na adimu.

Tanzania military
Tanzania military
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 08:24:05 GMT
15326
1472
12
17

Music

Download

Comments

edwin.mushi
Edwin Mushi :
kinachouma mlituangalia tukifa
2026-08-31 10:08:15
5
royderdavid6
Royder David :
I'm very happy to hear that and i love all Tanzania 🇹🇿 military
2026-09-01 06:47:47
2
user1076866802657
Charles emmanuel hiral :
nakubari
2026-08-31 14:28:49
0
edsonkwangu
Edson Kwangu :
naomba nipate nafasi ya kujiunga jwtz makamanda
2026-08-31 09:07:33
0
ibrahimkhamis312
Ibrah :
😆kwan hizi nafasi mara hii bado zipo au
2026-08-31 18:31:52
1
obedyhilmary
samanyanga :
naam Tanzania 🇹🇿 ♥️❤️💖
2026-08-31 08:33:15
1
washambaoffice
mgalilaya@$ moster :
kw exhima
2026-08-31 08:29:04
2
user7104968532992
Jitu @ 2... :
Unaambiwa njoo na akiri tu, nguvu utazikuta huko huko we huogopi...??😁
2026-09-03 07:21:08
0
jommidyhoriety
jommidyhoriety :
Waoga huku hawana nafasi.
2026-08-31 19:12:34
0
user1573294519544
🌹farham🌹 :
😭😭
2026-08-31 08:27:06
2
eliabadboy1
"£lia🫡🫡🤫 :
💪💪💪
2026-09-05 15:26:52
0
To see more videos from user @jwtz80, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About