Naomba kuanzia leo nkupe cheo cha Makamu wa pili wa Raisi.
2026-09-01 06:30:53
384
MUDDY :
yaan ngoja niwapunguze wabaki 3
2026-09-01 08:48:16
149
Bees pro :
madamu kiukweli nikikuona najikuta nina amani kbs
2026-09-01 05:13:38
148
🦋Cute mam🦋 :
ety dada hebu leo kikuulize naomba jib'mm nipo na mzaz mwenzangu mm naswali yy haswali hatujaowana ..swali langu mm nazin nae swala zangu zinakubalika au niache
2026-09-02 18:19:53
5
asifiwe :
miaka kumi kuna kufa
2026-09-01 09:45:21
39
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏
2026-09-03 21:49:53
21
🦋beauty saloon :
Sio wanaume wa sasa☹️
2026-09-01 12:25:31
39
mama G :
X wangu huyo anatumia hisia na umri unaenda 😂😂
2026-09-03 15:03:01
6
mr decoration :
unaweza kuwa na mmoja au huna kabisa lakin mpaka unakufa ujafanikiwa na unapambana sana tunaomba mliofanikiwa msitushauri maana hamsemi ukweli kuhusu mafanikio yenu
2026-09-01 19:15:27
8
asia :
status
2026-09-01 05:40:08
22
Kajol :
Nimekuwa wa kwanza leo 🥰🥰🥰
2026-09-01 04:04:23
30
Goddess ♀️🪐♑🧿🔱🛖 :
💜🥰✨🙏 💜 🧿 💯 🎯 Life is becoming more spiritual than it's physical. Zima hisia washa akili
2026-09-01 07:26:07
12
Y011 :
nmekuelewa madam wacha nibaki na wa 4
2026-09-01 09:16:34
14
Mustafeyni-TV :
Mbona unanambia Mimi madam 😅😂😂minilikaa miaka mi2 tu bila mwanmke alo nilijenga Allhamdulillah nq viwanja viwli na Crck Allhamdulillah Ila sasa zinaa Ndio inatuzunguka madam