@simukitaa: Kama Chatgpt ni sehemu ya kazi yako hii ni post usiyopaswa kuipita Hizi ni commands 99 zinazoweza kukusaidia kupata majibu bora, kuandika content, kupanga biashara, kufanya utafiti, kujifunza, kuchanganua taarifa na mengine mengi. Ni command ipi ungependa kuanza nayo? Tunawakumbusha Tu sisi tushaanza Kupokea Pre Order Za iPhone 18 Series Kwa Wanaotaka kupata hizo simu mapema .. Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori #Sanukakitaani #Simukitaa #ijuesimuyako #Tech