@thevoiceofafrica21: Je ni kweli Maeneo ya Kambi za Jeshi letu la Wananchi Yanabifsishwa na Serikali? #TheVoiceAfrica #tanzaniatiktok🇹🇿 #siasatanzania #foryoupage #viral

THE VOICE 📢📢
THE VOICE 📢📢
Open In TikTok:
Region: ZA
Monday 31 August 2026 08:43:17 GMT
10511
510
36
72

Music

Download

Comments

jacksonlicky
Jackson 🕴️🕴️ :
duuuh sasa folen itaisheje
2026-08-31 10:03:46
4
user498516046
user498516046 :
HATA CLUB YA YANGA ICHUNGUZWE
2026-08-31 09:46:24
10
user615168778880
user615168778880 :
Yani tumefikia hatua mpaka ardhi ya jeshi inachukuliwa?
2026-08-31 10:37:00
5
jumanne.ally959gm
Jumanne [email protected] :
💯💯 nanyenngine ipo mbagala
2026-08-31 10:06:53
5
abdullahqassim1
BEACH BOY :
mzee wangu unaongea fact sana mungu akulinde tu
2026-08-31 11:09:16
2
rogatus.rwamlema
Rogatus Rwamlema :
Ipo hivi issue ya CONFLICT of interest ni ugonjwa kwa Watanzania wote msituchanganye,na hata hizo ISD mnazosema zingekuwepo sasa unataka wapewe akina nani kama ni wazawa ni hao.HAPA UNGESEMA JE WANALIPA STAHIKI ZA UMMA ( Serikali) .LINAPOKUJA SUALA LA KUTOLIPA KODI HAPO UTALAUMU HIYO CCM Nchi aliwadanganya Nyerere mkawachukia Wahaya kuwa wakabila ,sasa mshangae Muhaya hata akiiba sanasana pesa utazikuta Bukoba tena nyingine humuhumu nchini sasa hao mnasema Kabla ndogo wapo Maskati,Dubai,Bombay,Canada etc bora wachaga na wahaya na wanyakyusa pesa nyingine utazijuta majumbani.LAKINI NIKUOMBE HIZO SIASA ZA KILA SIKU KAIBA HUYU ,KALA HUYU MZIACHE MNAEANEZA CHUKI.HAPA TUPAMBANIE PESA YETU IWE NA THAMANI ,haiwezekani Tshs 10,000 (Ugali kwa dagaa),Lakini usd 10,000 ( IST na change unaoa na kufanya harusi bab kubwa)
2026-08-31 12:01:56
0
elina.gordon0
Elina Gordon :
lokubwa msikata tamaa watz tuendelee kupambana
2026-08-31 10:29:48
4
user3244257218612
user3244257218612 :
ila munguatusaidiye
2026-08-31 10:34:45
2
amin_fakhi
Amin_fakhi :
Inauma sana hii 😭😭😭
2026-08-31 09:48:45
2
editha.gabriel7
Edithagb068587 :
mm nimepita pale zakhihem nikakuta sheli imeandikwa GSM nimekumbuka tonetone nimechoka
2026-08-31 10:39:28
4
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
😏😏ukweli m2pu
2026-08-31 11:29:37
1
user84521130034584
user84521130034584 :
fact
2026-08-31 10:24:57
2
twahaabdul369
369 code👹 :
mzee anajua mengi mno 😎
2026-08-31 19:01:42
0
wabusara29
Wabusara :
Swadakta mzeee na lawama anabebeshwa dereva mtihani kwakweli kwenye hii nchi
2026-08-31 16:53:10
0
iq4184
Iq@ :
Akika nikweli
2026-08-31 17:09:30
0
manvet
manvet :
Hii balaa kwa kweli 😢😢
2026-08-31 16:09:38
0
nmwakalebela
Nmwakalebelagmailcom :
Imagine sehemu ya jeshi hata mtu akipakia mabomu kwenye containers si atalipua kambi au usalama wa taifa upo wapi
2026-08-31 17:09:21
0
mabruck.ze.don
mabruck.ze.don :
Fact👏👏
2026-08-31 20:06:37
0
samtom970
Samtom :
Sahihiiiiii
2026-08-31 11:43:48
0
emmanueljacob3207
Emmanuel Jacob :
kama mbagala jeshin nihatal🤣🤣🤣
2026-08-31 10:40:17
2
qvs0000
qvs777 :
bora useme wewe mimi nilishangaa sana huyu jamaa anaetumika kama alivokuwa akitumika Yusufu Manji wakati ule
2026-08-31 16:52:58
0
kassimmwitu735
Kassim Mwitu :
keer
2026-08-31 17:05:47
0
johnson.lyakurwa
black tiger :
ufwala😅😅😅😅
2026-08-31 18:38:26
0
khalidimaghambo
khalidimaghambo :
watu wanachekea usoni 😂😂😂😂
2026-08-31 11:27:50
1
To see more videos from user @thevoiceofafrica21, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About