@farryskidswellness1: Usimpatie mtoto chakula kimoja kila siku mpikie mchanganyiko huu ni muhimu sana kwa sababu unasaidia katik mmeng’enyo wa chakula na kumpatia mtoto nguvu lakini pia inasaidia mtoto kushiba#lishe #farryskidswellnes #canadatiktok #afya #usa_tiktok🇺🇸