@zuri_foodstore: #vira #trending #fyp

Zuri_foodstore
Zuri_foodstore
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 09:13:34 GMT
74996
1537
123
31

Music

Download

Comments

dodoma_viatu_store
Dodoma viatu store :
Kwenye haya maisha omba sana mwenye fremu au mwenye nyumba wako asiwe mtu wa njaaa 🥺🥺
2026-08-31 19:14:22
169
steven.library4
🔇STEVEN_SENIOR📱 :
Daaa inauma so powa sema freshman
2026-09-01 18:44:58
0
geecollectionstlye
Gee collection Stlye :
Mimi kilichonikuta 🥺 hiz njaa za weny frem hiz kil sik kod inapanda
2026-09-01 05:04:23
31
h006591
elka :
mm tu apa sinza ndo Sina cha kusema Kwa wiki unauza mala moja natia huruma😭😭
2026-09-01 12:47:52
23
christa_fashionstore_bbt
Christa fashionstore_babati :
😂😂Imenikuta aseee unahisi kufa kufa anyway Mungu anamipango yake pia
2026-08-31 18:50:50
21
mr.0bby
Mr.0bby :
Dada lipo kusudi la Mungu katika hilo Japo Ni ngumu kuelewa kwa Sasa Ila ukishavuka ndipo utamfulahia Bwana📌
2026-09-01 08:42:31
13
user1757561123039
★𝗦𝗠𝗔𝗥𝗧 𝗕𝗨𝗜𝗟𝗗𝗘𝗥𝗦🦺 :
na mfremu wanapandisha bei kila siku kama wao Ndio wanakuletea wateja 🥲
2026-09-01 13:10:59
5
winner0967
winner :
nimepatwa na huzuni nikaomba Mungu akusaidie ghafra Roho mtakatifu akasema hapana hajaanguka nimemmpandisha viwango, hongera kwa hatua kubwa, japo sikujui ndo nakuona hapa leo
2026-08-31 18:05:20
20
chum_empire7
CHUM_EMPIRE🥰🥰 :
kipnz pole 🥰🥰🥰
2026-08-31 17:34:39
1
official.unknown09
RA$H€€D🫶😜 :
Daah si kalume tunalipa million kadhaa mzee kwa mwaka
2026-09-01 13:10:27
1
karisanaby
karisah baby🥰 :
kwani imekuaje tuelewesheni ili tutoe pole za kutoka moyoni jamani😭
2026-09-01 10:59:38
2
maggie.brand8
MAGGIE BRAND 👙👗👚 :
😂😂😂Ni huzuni jmn
2026-09-01 11:40:40
0
dalali_byser26_kigamboni
dalali_byser_kigamboni🇹🇿 :
@dalali_byser_kigamboni🇹🇿:MUNGU NI MWEMA🙏🙏🙏...WAHENGA WANASEMA "AMPIGAE TEKE CHURA......🥰Malizia hapo
2026-09-01 05:40:42
3
berthanamwila
berthanamwila :
njoo Zambia, mambo yako poa
2026-09-01 14:09:33
1
miss.smile9032
miss smile..😄😀 :
daaahh weny nyumba wanatunyanyasa sana wafanya biashara inabidi tutafutiwe mikataba ya kutulinda 😭
2026-09-01 10:38:35
0
lily44595
lily :
Nini tena żuri wakati unatuinspire.
2026-08-31 11:41:36
3
love.more804
love🦋❤️ :
duka lako lilikuwa zuri jaman dear ila hawa watu sijui wakoje😒😔😔
2026-09-01 08:21:23
2
kamenaboi
Ng'wana Manyizi😁 :
polee dada
2026-09-01 06:36:15
1
jaylinejohnson663
shop with madam penuel :
ndio ninachopitia kwasasa 😭😭😭
2026-09-01 06:51:02
1
momyqu5
Lizzy ❤️ :
Da Ndio Hali ninayopitia saiii inauma aiseeh🙌🙌🙌🙌
2026-08-31 20:04:02
1
stamphord2
Justin stamphord :
usikate tamaa lolot linawezekan
2026-09-01 05:16:21
1
jack.ma6983
Jack Ma :
Tupe story ilikuwaje ukafikia maamuzi hayoo
2026-09-01 05:56:29
1
valley364
valley364 :
nakuelewa baby ata bigbrother utauza sana baby💕
2026-08-31 20:02:40
0
dinasylivester
Dina kagina :
Pole mpenzi, hii hatua itafungua nyingine hongera ww n mshind 😊
2026-08-31 09:17:45
2
lope_thebee
THE BEE JINA KUBWA🐝🔥 :
whts happen?
2026-08-31 20:35:35
1
To see more videos from user @zuri_foodstore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About