waambieni watu process zote ili wajue cs mnasema hivyo Ila wanakuja kuteseka Sana baadae. Bora luku tu ya tanesco kuliko hiyo
2026-09-01 12:18:41
4
I'm Romina :
sio kweli kama wewe unao umee ukiisha mita kubwa na kwako giza
2026-09-02 07:36:55
4
Dafrosa :
zinasumbua sana, nimeziweka najutaaaa!
2026-09-01 10:36:26
1
kidechu🥰🥰🥰 :
mwenzetu anacho ila umeme ukiisha kweny mita kubwa mbn na yy kwake kunazima
2026-09-01 06:55:26
5
z :
Unakuja kuniwekea
2026-09-04 11:20:21
0
Mama Shafii :
je unwezaje kumwambia fundi anakuekea beigani
2026-08-31 13:08:41
1
HARUNA 🔱👑 :
bei shigapi
2026-09-01 15:44:15
0
Mom nathan :
hiyo sio mita hii na hesabu mita yaani inasoma umetumia umeme wa bei gani.mfano mpo wapangaji watatu mmeweka umeme wa ef 10 10 icho kazi yake kuhesabu umetumia unit 28 bc utakiwi kupitiliza ukatumia umeme wa wenzio kila mtu na matumizi yake uwenda wew kwa wiki unatumia umeme wa efu 5 mwinzio kwa wiki hiyo anatumia 10000 ko kila mtu ataweka umeme akisha maliza unit zake sijui nimeelewaka
2026-09-02 14:08:09
3
michaelchami76 :
habari kaka unaweza ukahama nayo
2026-08-31 11:00:56
0
AnnarahMasolwa :
Sasa nikitaja nijifungie mwenyewe maana wengine hawataki kununua apo inakuwaje?
2026-08-31 19:30:55
0
double E² :
ukiama una ama nayo ci ndio
2026-09-01 16:34:17
0
Zenuu Stationary :
hiyo ni miter au sabu miter
2026-09-03 00:31:32
0
Temwende_tz :
kiongozi naomba kufahamu hii mita inaweza kufanya kaz ht km mita kuu ni zile za zamani kbsa za kuingiza pale pale kwenye mita ya ukutani
2026-08-31 09:45:00
1
Belovedreadlocks :
Utanunua umeme google vzr tu, sasa subiria token ni adi urudi sayuni kama huna connection token haziji ng'oo..
2026-09-03 16:59:05
0
Doi :
hahaaa hizi umeme wao ukikata unawasubir baba hapo ni kupunguza kugongewa mlango
2026-09-03 17:28:56
0
mama p :
mmmh hapana hzo sub mm ninayo ila wakimaliza wa luku kubwa ya tanesco kwangu unazima
2026-09-03 16:55:47
1
Minah ghera :
uzuri wa hiki huulizw ila wanaotumia mita kuu ukiish na wew Giza mpk waweke ndo upate umem
2026-09-01 12:21:29
1
mr decoration :
izo ni prepaid sub meter unanunua umeme kupitia namba ya sub meter ivyo unakua kama unamiliki meter yako peke ako
2026-09-02 19:33:17
0
young fundi🤫 :
oya bro iyo geovre switch oya matikia apo shingap
2026-09-01 18:01:14
0
user6114404296006 :
kama nahitaji peke yangu wenzangu awatki
2026-09-01 14:34:57
0
Vee collection 🌸😋 :
Unapatikana wapi?
2026-09-04 13:03:02
0
شحرزاذ💋 :
KWa znz unapatikana wapi
2026-09-04 11:25:39
0
®️ :
mnapatikana wp
2026-09-04 08:52:36
0
hidhri :
mm hizi nnazo mbili lkn zinaboa prose's zake cjui ununue umeme kwa kutumia google uweke namba zao alimradi tafrani tu zipo tu hapa ukutani
2026-09-03 07:52:18
0
SHELLY VIJORA :
changamoto mbaka tufunge wote apo sasa kwann msituwekee mmoja mmoja jamani anaweka kivyake tusaidiyeni
2026-08-31 14:19:45
0
To see more videos from user @vak_electric, please go to the Tikwm
homepage.