@dukuduku_tv: Hili nalo kubwa kweli...😂😂🙌 #fyp #kingwafirstyear #tiktokviral #dukuduku #pipytida_officially

𝐃𝐮𝐤𝐮𝐝𝐮𝐤𝐮 𝐓𝐕
𝐃𝐮𝐤𝐮𝐝𝐮𝐤𝐮 𝐓𝐕
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 09:40:27 GMT
109326
6546
304
846

Music

Download

Comments

missrapha
p£@¢£ b@£✌️🤎 :
huyu anafaa kufanya bajeti ya serikali 🤣🤣🤣
2026-08-31 12:10:14
583
user5626871481512
G.momy :
😂😂😂 nachoka mimi duuh! this is Tanzania🤣🤣🤣
2026-08-31 15:48:11
0
halimamaongezi
halimamaongezi :
huo muda wa kuhesabu uwa wanatoa wapi😂😂😂
2026-08-31 11:46:27
337
chuneer.nizzy5
chuneer nizzy :
mbona kama JAMUHURI haina MUUNGANO 😂😂😂😂
2026-08-31 14:05:59
153
veebrandy25
vee🍁♥️ :
😂😂😂uyu baby wake nan
2026-08-31 13:57:57
0
anjelikamhiche
Anjelika Mhiche :
asante da pipy nishushee
2026-08-31 11:58:46
0
gall.chase
Gall chase :
Wanapungz zingine anakul Doumbia[Tears of joy]
2026-08-31 12:05:16
27
user1525562491212
neylee* :
ilaaaa kumbe watu kweli tuko yofauti hadi kuesabu tambi uwiiii
2026-08-31 11:55:04
124
big.boss23121
BIG BOSS :
duh hii noma
2026-08-31 12:15:22
0
user34294754093745
LOY :
dukuduku tv[Tears of joy]
2026-08-31 10:58:23
0
mrsr.k5
mrs ❤️ 🔐 :
kaaa ulikuwa bize unazihesabu😳😂😂😂😂😂 mbona sijawahi kufikilia kitu kama hicho😂😂😂 lazma nizihesabu awamu hii 😂😂😂
2026-08-31 11:22:19
57
hiddenseed1
Chima :
haya ni mambo madogo madogo lakini kwa watu wa uchumi ni potential sana,
2026-08-31 12:18:13
67
neematimothysim25
Neema Timothy simkoko :
ila kwele jamani hata ukipika Zina kuwa chache
2026-08-31 11:53:55
26
chagaagirl30
chagga girl :
ewaaaaaahhhh 👏👏👏👏👏👏
2026-08-31 13:04:48
0
user72777232913581
user72777232913581 :
Wakuweke uwe waziri wa fedha sas🤣🤣🤣
2026-08-31 14:17:08
8
mdumahealth
MDUMA HEALTH 🩺 :
Kujihudhuru lazima hata mm nimeona😂😅😅
2026-08-31 14:28:14
10
calfetty24
Fetty✨💖 :
mdogo wak babaatu kapatikana😂😂
2026-08-31 12:27:13
20
meckygaitani
pettyG💕 :
yaan ndo mana leo nimeuza tambi mpaka nimechanganyikiwa kumbe tatizo lilianzia huku kweny dukuduku😂😂🤣🤣🤣
2026-08-31 15:09:04
15
prisca_decut
Prisca wa mama🥰 :
daaah ila tambi 33😂😂😂😂
2026-08-31 12:52:35
6
ummybaby02
ummybaby02 :
Ila bongoo mamaee😂😂😂
2026-08-31 12:35:34
8
miclevis1
Levi's :
kwahiyo tambi 327 zipo zingine hazipo 🔥
2026-08-31 12:47:11
6
ammy787
Aminah💖💖 :
wew huo mda wa kuhesabu unatoa wap mwanetu
2026-08-31 13:49:14
8
karulison
2040…✝️ :
akili kama za kwangu
2026-08-31 12:18:49
5
To see more videos from user @dukuduku_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About