kweli kabisa.mm nakula twice every day and I feel healthy and strong than b4.kiamsha kinywa nala saa Sita,jioni nakula saa moja nakaa mpaka kesho saa Sita au saba.
2026-09-01 04:05:30
16
rebelfarmer1 :
will try this
2026-09-01 17:33:25
1
brightness :
m tumbo halipungui nimechoka
2026-08-31 20:23:05
2
karesh :
Kun wakati nilifunga dry siku tatu..
nilipenda juu nilikua fire..
yn nikianza kuomba naguruma km simba
2026-09-01 11:20:08
8
Mtu muhimu :
Fungeni, sisi waisiramu tunafunga mwezi mzima.
2026-09-03 05:55:23
0
cookie 🥞🍪🌹🫦 :
iyo saa sita nakula chçht au
2026-08-31 21:21:02
3
@Nicasabr❤️ :
Hello je kama inanyonyesha ,hapo nifanye nn
2026-09-03 07:19:11
0
FADHILI ABDALLAH :
dokta kunawatu hatuna kabisa uhakika wa kula.
2026-09-02 23:11:27
2
selina s :
Hii imenisaidia sana nashukuru
2026-09-02 18:12:17
1
Aishaha kondo :
dokta mimi maisha yangu niyakawaida ugali dagaa maharage ubwawa nashindia kazi sikai chini mpaka sa 10 jioni ninamawazo yamaisha kibao sasa kinacho nishangaza najiwa na unene mkubwa mpaka miguu inauma kunamtu ameniambia nidalili za magonjwa makubwa je kunaukweli,? nisaidie
2026-08-31 20:23:54
2
It's nana :
ambacho najiuliza je ukikaa njaa kwa muda mrefu unaweza kupata vidonda vya tumbo?
2026-09-01 06:51:34
0
kidd :
Dr ukweli mtupu, shida watu wanapenda sana kula, hapo unampigia mbuzi gitaaa tu. lkn ukweli ni kwamba kula mara moja tu. Huu utalatibu wa kula mara tatu kauleta nani?
2026-08-31 21:03:30
2
@chairman :
from Kenya JK ni ukweli
2026-09-01 03:31:39
4
BINTYZAKY 🇰🇪🇹🇿 :
ndio Maisha yangu Na sjafa
2026-08-31 19:27:27
4
Fundnlly :
hiki ni sahihi kwanza uzito na mwili hupungua
2026-09-02 22:39:57
1
Rachel Gunaguje Medan :
Mimi ni shuhuda na huo ndio ukwel
2026-09-01 09:29:16
2
sarahmureithi300 :
na wenye tunameza dawa asubuhi tunameza tumbo tupu?
2026-09-01 18:19:14
1
amani :
asante nitafanya ivyoiyvo
2026-08-31 17:59:10
2
Lilian Kilo :
ndomana umekonda kweli naumwa ila kula sawa nitajalibu
2026-08-31 18:47:40
2
NAOMI BISHANGA :
nitafanya ivoo
2026-08-31 18:25:21
2
NASFRANCIS :
nikweli dokt nimekufatilya sana nafunga kwa wiki mara 2nakula mlomoja nilikuwa na mwili mkubwa sana kilo 100 pwenti 3 nakwasasa nakilo 69 nashukuru sana atamaradhi ya tumbo miguu kuuma mgongo kino sina tena nafanya sana mazoezi yani nipo vizuri sana
2026-09-01 02:00:06
4
Happy Luka Sirikwa :
nimejaribu nimepungua ya ela yote
2026-09-01 17:46:32
1
To see more videos from user @digestivesolution1, please go to the Tikwm
homepage.