@loisa.my: dunia kweli haina huruma 😭😭

Loisa☆my
Loisa☆my
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 09:59:07 GMT
239486
12530
1140
477

Music

Download

Comments

robertcharles781
robertcharles781 :
zinashida gan hz jmn
2026-09-01 19:46:56
0
47rajah
@47 Raja Raja :
siwezi kumlaumu mwenye shamba huenda yupo sahihi. asa kama mtu unamwambia usilishe mimea yangu yeye anapeleka mifugo yake we unafikili itakuwaje
2026-09-01 13:43:53
161
user2623657949682
mtimkavu :
sas mbn mmepost 15h ago
2026-09-01 20:42:57
0
user9846267925632
amina ussi :
wale ambao tunajuwa ugumu wakulima huku kuiweka matamanio kwamba nikivuna familia yangu itanusurika njaa na haitazaririka kwachakula ndio tunaungana na mkulima mwezetu🤝🤝
2026-09-01 18:38:36
59
msabighati1
msabighati1 :
gxhshiw bdxnnsajaj@
2026-09-01 15:45:58
0
irene23944
Irene :
polen hii haiko saw🙏
2026-09-01 20:46:44
0
emmanuel.mwema6
daniel werema mwema :
Wafungaji ndo tunajua maumivu kama haya
2026-08-31 12:56:42
134
himasuzy
suzy hima :
tatizo wafugaji wanazarau wanatuonea sana sisi wakulima
2026-09-01 07:04:02
28
sophmoekachy
Mwana❤❤❤ :
Hao kama niwamai ndo vizur hua hawasikii wala kueshim chamtu
2026-09-01 17:29:36
24
eliasburra
[email protected] :
mtu unachunga shamba la mtu afu akifanyiwa yeye analia na watoto wa mtu wanalia njaa kiujumla kila kitu kitu ni muhimu kwa kingine kama ilivyo kwa binadamu kila mtu ni muhimu kwa mwenzake
2026-08-31 12:57:35
118
salehisimbula
salehisimbula :
ubaya ubwela
2026-09-01 10:15:55
9
sylviamalaika7
sylviamalaika7 :
Sema watu wanakuaga naloho mbaya sana atakama wamekula mazao ndo mfanye unyama uuu domaana mimi sipendagi binadam wenzangu bola tu nikae mwenyewe
2026-09-01 13:04:04
24
g.g.don5
G G DON :
kipi kina thamanii kati hizi mifugo zote na hiyo shamba huyu ni muuajii kabisa tumkabizi mungu aseme nane kwakweli amjibu pigo kubwa sana😭😭😭😭😭😭
2026-09-01 17:28:41
17
elikana959
elikana bahati :
polen san jamn
2026-08-31 12:03:41
1
user947696835
Wini Frida :
pole san
2026-08-31 12:54:40
1
user8066632857811
pretty 😍 atapiusi :
hapo 50/50 uwez jua nikwa nn mtu mpaka kafikia hatua kama huo
2026-09-01 17:49:13
7
neema0759
neema :
japo sina ngombee ila hiiii sio sawaa serikali iangalieeee hiliii kwaaliefanyaaa hiviii kwasababu ziko adhabu nyingi lakini sioo hiiiii inaumiza niiukatili kibinadamu pia kwawanyamaaa mimi imeniumizaa ilaa sina sautiiii tuu😭😭😭😭😭
2026-09-01 10:50:21
9
judithnyangoma251
Judith Nyangoma :
wafugaji hakikisha ukianzisha biasharaya ufugaji uwetiari unamaeneo yakobnafc yakutosha sio unafuga kwakutegemea mashambaya wenzenu funzo Kwa wafugaji
2026-08-31 17:40:37
10
user17299748594922
Merry Paskari :
ivi nikweli au vp mbn kam dunia imeisha sasa wafugaj wenzangu mko wap tujuane!
2026-08-31 16:49:33
7
user65006282903140
caroh :
wengine wana dharau acha wafunzwe adabu just imagine unaenda asubuhi unakut shamba vyote vimeliwa hakun kitu weee inaumaaaaaaaaaa xo poa
2026-08-31 17:43:30
12
user4692954796178
Esta :
wanyama hawana kosa jamani wanahaki ya kuishi wao hawakujua ni shamba la mtu
2026-09-01 10:02:29
27
johnsilas62
Elias Silas :
at least wafugaji watajifunza na kuacha dharau dhidi ya wakulima. lakin sio vizuri kabisa 🥹🥹🙂
2026-08-31 17:20:42
17
elishaellex66x
Elisha elle x66x :
Tanzania 🇹🇿 hii watu wanao pitia changamoto kubwa sana ni wamasai lakini mungu ibariki sana Engaji emaa amen 🙏
2026-08-31 13:44:32
18
mkingaboy25
mkingaboy25 :
mbona wamefungwa miguu wakuu
2026-09-01 18:17:45
7
mrsmoney65
jee💰 dollars🥰 :
mwenye ngombe Yuko katika Hal gani au ICU
2026-08-31 16:50:01
11
To see more videos from user @loisa.my, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About