@thika_gossip_backup: Kenyan man discovers a new job opportunity 😂 From soil straight to potatoes! Akh hii Kenya, kusota ni kujitakia😂🥔🇰🇪 #kenya #jobopportunity #potatoes #nairobitiktokers #goviraltiktok
THIKA GOSSIP
Region: KE
Monday 31 August 2026 10:01:06 GMT
Music
Download
Comments
Shillah 🦋 :
alafu mnipimie usiku kama waru sindio...😂
2026-08-31 14:59:33
152
Tabby Mwaura :
Congratulations on owning a house
2026-08-31 16:24:49
1
Palmerspoiler 254 :
sharp boiz
2026-08-31 19:03:35
0
Mbithe :
next big millionaire 😅
2026-08-31 18:30:42
0
NaomieMk :
😂😂😂Business idea unlocked….weeeuh no mbaya aki
2026-08-31 16:14:09
13
Naida lyric K 🦋🇰🇪 :
kuanzia leo natembea na kisu ukiniuzia waru nitakaa hapo kwako nichonge nimalize kama kuna mawe utachange mtu wangu unipee viazi 😅😅😅😅
2026-08-31 17:36:38
43
user76184991547334 :
Kujipanga gani hii🤔🤔🤔
2026-08-31 12:39:24
33
TEAM NAIROBI RELOADED :
Conmanship is too much in this country
2026-08-31 16:18:02
17
ERICO :
unabomoa nyumba roll hizo vitu
2026-08-31 18:02:00
12
memoo🦋 :
lakini shida ya hii kenya ilianzia wapi 😂
2026-08-31 19:00:40
15
Peshy❤️❤️ :
Niko kutu guys
2026-08-31 19:53:04
2
Anneannah❣️ :
kutoka leo ntakuwa nakunya izo waru😂😂😂
2026-08-31 17:46:50
3
Juliet :
alafu ni za kufanya nn
2026-08-31 16:13:46
5
BanterBloom :
NIS tunawajua
2026-08-31 13:15:08
4
Githinji :
kuna hadi waru counterfeit?
2026-08-31 21:29:59
0
Jemutai♥️ :
eeih😂na vile zimepanda bei
2026-08-31 17:19:27
1
stephenmbatha :
Leta kazi tufanye
2026-08-31 17:43:52
1
Dennoh :
mbona unaharibu biz wewe😂😂
2026-08-31 17:36:07
1
Bramley 👑 :
MWIZI 💯✅
kama
RAIS RUTO 🇰🇪
2026-08-31 19:53:09
0
unbreakable💪💪 :
sasa sahii nitakuwa macho nikinunua waru
2026-08-31 20:41:43
0
GONE.gnpb :
kweli basi mi sijajipanga..
2026-08-31 21:23:10
0
Wildly Kenya :
nionyeshwe ya chapo guys 😂😂😂
2026-08-31 20:53:10
0
browñy🥰🌟 :
hii Kenya kila mtu amekuwa mkora 😅
2026-08-31 19:54:23
0
Lucy Wakio :
na vile waru ni expensive saizi
2026-08-31 21:01:25
0
To see more videos from user @thika_gossip_backup, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.