kwann serikali isiweke uziio kuepeusha magari na watu kudondoka nankupoteza maisha
2026-09-01 15:42:10
5
silence killer :
nilichogundua kitonga ni overrated sana kilima cha kawaida sana icho
2026-09-01 06:55:28
9
Henam :
gari la milion 250 na mzigo wa bilion 1 nimwache chini kweli
2026-08-31 10:29:39
7
living💦🇹🇿🇧🇫🇰🇪 :
eish tuko nyuma sana miundombinu duni yaani hamna hata kingo kwenye hiyo barabara 😳 hiv Tanroads hawaonagi nchi kama china wanavyojenga highway zao kwenye maeneo ya milima kama hapo kitonga😳
2026-08-31 16:47:22
7
Olivia :
nimepamis kitonga
2026-09-01 09:59:20
1
Mr Balad :
Kitonga inapatikana mkoa gani
2026-09-01 14:02:11
1
Aggyjona❤❤ :
Na huko pia siji
2026-09-01 14:20:40
1
Julius :
ustadhi mbona ujawai kumuonyesha umepata break down au we upatagi
2026-08-31 10:13:05
3
Mazengo Mazengo hosea :
kwani ustazi ivi madereva wakidondosha gari uwaga wanalia au