@nijuzenews: ‘Hatumiliki silaha kwa fashion’: Waziri Katambi amtaka IGP Wambura kuwanyang’anya silaha wanaozimiliki kizembe Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameyasema haya Agosti 31, 2026, kwenye sherehe za uzinduzi wa kampeni ya msamaha wa usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari, zilizofanyika viwanja vya Nyerere Square, Dodoma. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>>‎ https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u

Nijuze
Nijuze
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 10:25:13 GMT
19491
437
18
20

Music

Download

Comments

mustafa.juma175
Mustafa juma :
nikweri boss sila sio mapambo wana zingua sana pita nao
2026-08-31 12:21:16
0
kakabeka8
kakabeka OG :
..mkuu umeongea kwa hekma ustaarabu na Busara mungu akujaalie maisha marefu 🙏🙏
2026-08-31 13:32:23
0
nck231_
Ja Rule :
Mnajuaje asiye na tishio!
2026-08-31 13:21:11
0
kudaadeki
Kilimanjaro :
tumeni namba zenu za mpesa haraka haraka ni nzuri sana 🤣🤣😂 nimempiga ods 10
2026-08-31 13:09:32
0
never4u6
Goran :
yupo km wale waliorudi kutoka sauz nahisi km kachokaa
2026-08-31 13:05:59
0
user52226211839437
Otieno :
Nazinauzwaga wapi za harari
2026-08-31 13:04:18
0
mkajengwa
kkkkkkk :
huyu wazir yuko vzr sana wizara hii hana ile kuwavunjia heshima askar yani hawafokii mbele za raia mungu amjalie
2026-08-31 12:59:34
0
kijana191
ZEE LA CHABO.🧐 :
Sahihi kabisa muheshimiwa naunga mkono hatua zichukuliwe🤝
2026-08-31 12:28:44
0
genge_mbeya
genge_mbeya :
Dotto 🤣
2026-08-31 12:26:30
0
ayoub.kileo
Ayoub Kileo :
hujawa kusahau ww
2026-08-31 10:34:55
0
eddymutashobya
eddy mutashobya :
Yapo matukio kwel hapa Nchini kabisa big up
2026-08-31 12:15:37
0
saviormitumba
SAVIOR MITUMBA ✅ :
ILA DOTTO kujiamulia mambo tayar ushatuingiza hatian vijana ety na hapa ipo😁😁
2026-08-31 12:03:21
0
grandthedady
𝔹oss 𝔻ady :
hao wpo wengi sana sasa hivi
2026-08-31 11:59:40
0
prince_ujazo
ALVIN J.J 🗽 :
maaskali wenye smg vifuani vipi
2026-08-31 11:53:45
0
dadaay.gaspal.jos
#Daddy Gaspal Joseph :
nakuunga mkono mkuu 💪
2026-08-31 11:49:19
0
selemani1278
selemani :
kweli kaka.siku hizi wanatembeanazo kama simu.
2026-08-31 11:32:52
0
death_or_state
†✞ 𝕄ℝ ℙ𝕃𝔸ℕ𝔼 𝔹 ✞† :
KATAMBI 🙌🇹🇿🙌🇹🇿🙌🆓🇹🇿🇹🇿
2026-08-31 11:27:13
0
andrea.daud
Andrea Daud :
uyu nae sijui
2026-08-31 11:19:53
0
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About