umenigus moyo mpk unauma san umemkumbuk san alikuwep lkn saiv sain nimebak na maumiv tu 😭😭
2026-08-31 10:49:27
4
pirlo quotes 🥀🕊️ :
Inauma pale simu yako inapokuwa kimya usiku mzima, ukikumbuka kuna wakati mtu huyo huyo ndiye aliyekuwa wa mwisho kukwambia usiku mwema... 💔🕊️"
2026-08-31 20:43:46
1
Itx_aysha.08 :
😭😭😭😭 inauma mmno
2026-08-31 17:03:42
2
Sophia Salim :
kuna vitu zinaumiza sana eti njoo nyumbani then kufika hapo mtu anagombana na mwanaume mwenzake kwa simu kwa sabu ya dem mwingine tena ukiwa hapo
2026-09-01 13:21:26
1
tesha :
Ndio inaumaa sanaa but haita kaa kimya milele jipe mdaa amini yupo anakuj yul mtu wa ndot zako saiv relax usi force mapenzi usi force upendo kila mtu anamtu wake kila mtu ataenjoy ni swal l muda tuu mtu wangu
2026-08-31 21:23:29
1
06@RM :
inauma sana hasa ukifikilia yupo lakini hayupo hamna attention tena unaona bora usimwambie hajali tena anamjali mwingine
wewe hana muda tena nawewe😭😪
2026-09-01 11:06:13
0
pirlo quotes 🥀🕊️ :
💔💔💔
2026-08-31 10:50:43
1
To see more videos from user @pirloquotes1, please go to the Tikwm
homepage.