Hizo resources mumeshazitayarisha au ndo businesses as usually
2026-09-02 09:36:00
1
The Wanna~Dallass :
How about Facilities ?
2026-09-02 07:00:22
0
Diana Rugemalira :
mmmmmmmmmm
2026-09-02 12:26:51
0
GASPER KISINZA :
FORM V NA VI NI KUPOTEZA MUDA ITOLEWE
2026-09-01 16:09:37
8
Menye Irmegoliki. :
Hamna lolote siasa tu.Kwa miundombinu gani?
2026-09-02 07:02:06
4
Kwebeke@ 2000 :
mara miaka sita tena kumi, duushida nini ?
2026-09-02 10:41:28
1
@chawala :
cy lazima mwanangu asome
2026-09-02 12:03:35
0
anord jr :
mkuu umeongea vizuli ila mifumo ya msingi na sekondali bado yule yazamani kwanini mmebadilisha mtaala ikuwa hamjaandaa
2026-09-02 15:19:24
0
Naomi Saileni :
mi naona mngebadilisha mitaala ya elimu muweke elimu Bora kuanzia la kwanza waanze kufundishwa kwa kiingereza mpaka la saba form one mpaka form 4 ndo muanze elimu ya mafunzo nawalimu wa shule za msingi muwaongezee mishahara ili wapunguze mishango kwa wazazi mana tunakoma kwasababu hamuwalipi vizuri kuliko koongeza miaka mnafanya watoto wasiojua kufanya hata kazi za nyumbani
2026-09-02 10:11:50
2
BK DECORATION EVENT :
fimbo hakuna mana vijana ni wadogo wanahitaji kuangaliwa
2026-09-01 16:03:22
3
Samwel Sungura. :
🤣🤣🤣🤣🤣 Kaz ipoooo
2026-09-02 15:53:00
0
Seif Kabelele :
OK
2026-09-02 17:04:50
0
Ernesto chaye :
na watoto wenu wawe wanasoma huko
2026-09-02 15:22:08
0
juma salehe @ :
bwana weeeee elimu zenyewe mnatupa hata hazitusaidiii tumemsoma Carl max uko vyuoni mtaani sijawahi kukutana nae.mtubadilishie hzoo elimu 😆
2026-08-31 11:40:10
5
user7975025797265 :
Wazir toka ofisin tembelea mashule, Rushwa imezid shule za serikali hakuna kufundisha
2026-09-02 08:51:53
1
daty :
misijaelewa lakwanza nimiaka 10 au nimeelewaje apo nieleweshen jaman
2026-09-02 09:57:09
1
sakinaatway :
miaka sita shule ya msingi yn darara la kwanza hd la sita ,ukiweka na miaka mi4 ya sekondari inakua 10
2026-09-02 18:35:33
1
c*fahari :
jamaan mtuache khaa wengine tumezaa na umri mkubwa mnataka mtucheleweshe tena kwenye kusomesha teena
2026-09-02 15:18:25
0
VerenaM :
kinacho umiza 200 mala elfu moja mitiani yaajabu ambayo hairoki kwenye mitihani kwakweli mimi nimechoka kwa Elimu.ya sasaivi imebakia kuwa biashara tu walimu wanaumiza wazazi kama selikari haijui ?
2026-09-02 10:16:25
0
Kimath Lello :
Serikali bhana, kila kukicha mnapindua pindua hii elimu kama gunia la viazi, hata nyie wenyewe hamjui mnatafuta nini lini na kwa nini.
Mkiri tu Ajira kwa wahitimu wa nchi hii zilishawashinda mnatafuta tu pakuchoropokea hakuna chochote chenye tija mlichokilenga.
Kila utawala na na mikakati isiojua itakamilikaje ilimradi tu kuwakoroga Wananchi.
2026-09-02 09:45:31
0
🥰🥰 :
hizo ni siasaaa
2026-09-02 20:45:41
0
user76813681755935 :
ondoeni 5. 6 kupoteza mda
2026-09-02 14:32:21
0
johnmajondokitull :
Elimu ya ufundi stadi mlichelewa Sana kuling'amua mapema ni Elimu Bora Sana kwa Taifa letuna bara letu la Africa kuliko kuwabebesha masomo yasiyo na maana ,hivi mtu anakufundisha eti binadamu katokana na Nyani mara mguduzi wa ziwa yaani tumelishwa matango Poli ya mkoloni miaka mingi.tena Yangebakia masomo ya Sayansi Tu na lugha.
2026-09-02 10:16:32
0
Julius Labour-run :
shida ni miaka au kile anachofundishwa mtoto
2026-09-02 13:07:34
0
emerita :
Hadi mitano
2026-09-01 18:49:22
0
To see more videos from user @sunacademy0754484321, please go to the Tikwm
homepage.