hii video sijaiona kimakosa gari langu lipo njiani🙏
2026-08-31 16:55:55
83
rreby_1 :
First time nakuona,first time naelewa online lessons we kaka unajua🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-09-01 20:10:20
1
shampinga :
Khalid Ndo Muuzaji Wa Magari Pekee Anatoa Elimu Ya Uendeshaji wa Vyombo MUNGU Akubaliki Sana Bro 🙏
2026-08-31 11:57:21
52
crey🌹 :
mashallah Asante san khalidy
2026-09-01 09:25:17
0
Hilda :
Handbrake haitumki
2026-09-01 05:33:27
0
🅱️ R-I-🅰️ N :
Good teacher 🥰
2026-09-01 08:57:55
0
EZEY PLUMBING 0743562235 :
Kuna mtu akiiona hii video ataenda kujaribu eeeeeeh😂
2026-08-31 18:45:47
12
rodgersadiema6 :
asante
2026-08-31 19:24:48
0
HAMADI KILUA :
nishakuwa dereva🤣🤣
2026-09-01 04:20:33
5
roosterTz :
kaka tayari nimeshakufollow si ndo ulikua unataka..😂
2026-09-01 11:02:52
3
SELFCARE SHOP| ARUSHA & DSM🍒 :
Hii gari aina gani jaman? Ni Manual au Automatic? Mbona inarugu la gari manual jamani au ndo sijaelewa😳😳😳
2026-08-31 16:13:41
2
Tuti Mwanjisi :
nikiwa kwenye foleni za dar naweka wapi N au P
2026-08-31 19:32:36
2
kizzy daniel :
nitakufatilia😂
2026-08-31 12:44:53
5
phahim hamadi :
gali sikuzote sokazi kuendesha ila kazi ipo kwenye kukadilia nakujua ukubwa wagali yako ndomaana unakuta m2 anakuja kona mwishowe anakula nguzo zawatu kabla hujaanza kuendesha gali hakikisha unajua ukubwa wagali yako najinsi yakukadilia usukani wako wakati wakukunja kona🙏
2026-08-31 17:22:39
2
Dotto Dm :
Mwalimu upo vizuri kwa maelekezo hata mie nimeelewa
2026-08-31 17:24:24
3
homeboy :
Kaka umetisha mwanafamilia hadi nimekufollow❤️❤️❤️
2026-08-31 21:11:27
2
Kelvin Mubez :
Kwan gar lako halina hand break mbna sjaon iyo hatua 🥹
2026-08-31 18:43:58
1
Ajukai_family :
sasa ulikuwa wapi mpaka mimi nikagairi kununua range na kuamua kununua baiskeli tu
2026-09-01 06:54:26
2
zayumba :
mbona hujatuambia kuhusu hand brake
2026-08-31 19:20:25
1
bonge mwepesi :
jana ulinifaidisha kaka ntaendelea kukufatilia
2026-09-01 09:11:56
1
lizard 💣 :
mm nataka kujua kuendesha gari barabaran na alama za barabaran site ya kupita ukiwa road?
2026-09-01 07:05:36
1
Abraham :
nipewe Gari sasa🙌
2026-09-01 19:49:03
0
Mchinna_mwillo#@! :
Unyama sana
2026-09-01 20:10:02
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.