@chijjogallery: Kwanini Sio Offside??

Chijjo Gallery
Chijjo Gallery
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 11:48:43 GMT
260445
7324
2127
54

Music

Download

Comments

kata.molu
kata Molu :
hajapita center y field
2026-09-30 19:33:31
0
hansboy656
hansboy :
hajavuka line [Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-01 08:40:39
0
jeff.hardy820
Jeff Hardy :
he was not yet touches the ball
2026-10-01 05:22:50
0
blacktiger9_tz
jthan_now :
sababu jamaa hakuwa amevuka mstari wa Kati kwenda upande WA timu pinzani so haiwez kuwa offside
2026-09-02 22:58:37
737
coolfaftz
Romara_tz :
alikuwa bado ajavuka katikati ya upande wao
2026-09-03 21:08:26
283
star.boy.00143
star boy 001 :
kwa sababu yupo kwenye nusu yake ya uwanja
2026-09-04 11:15:33
45
enocktembaa
enock temba :
Sababu iyoo hapo
2026-09-04 11:16:08
32
mr.dom53
Tom👊 :
alikuwa nyumba ya laini
2026-09-04 07:35:08
8
saidnassor860
said nassor :
sababu alikua hajavuka mstari wa kati alikua yuko kwenye eneo lao
2026-09-06 19:03:15
13
elia.lee7
Elia Lee :
Hakuna offside kwsbbu movi ya mpira imeanza kabla mfungaji hajavuka mstari wa katk ya uwanja
2026-09-15 18:55:19
5
brunofernandez851
Bruno Gaare :
akipewa mpira kwakuwa alipokea mpira kabla hajavuka mstari wa ktkt ya uwanja
2026-09-05 07:17:20
7
boss.goodluck2
BOSS GOODLUCK :
kwasababu javuka nusu uwanja na ndio !aana sio off side
2026-09-04 05:26:05
7
mudymudy19
𝐜𝐨𝐬𝐭𝐚𝐫𝐜𝐢𝐞 :
𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝙱𝚊𝚍𝚘 𝚊𝚗𝚊𝚟𝚞𝚔𝚊 𝚖𝚜𝚝𝚊𝚛𝚒 𝚠𝚊𝚔𝚊𝚝𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚞𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚒𝚟𝚢𝚘𝚘𝚘 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚑𝚊𝚙𝚊 𝚝𝚞 𝚓𝚞𝚠𝚊𝚗𝚎
2026-09-04 10:18:15
47
shephady
shephady 4️⃣5️⃣🔞 :
unaona kabisa pas inatolewa mtu bado hajavuka msitari wa katikati ofusaidi inatenganishwa na msitari wa katikati💪💪
2026-09-21 01:51:05
2
mathias43954
mathias :
alikuwa ndan ya eneo lake hakuvuka eneo la mpinzani
2026-09-09 16:46:12
3
kenesjuma105
Kenny :
pasi ilivyopigwa alukua bado hajavuk mstari wa kat ndoman haikua off side
2026-09-27 20:28:54
1
smilingboy12
Feruzi Kasoni :
alikuwa hajavuja upande wa pili
2026-09-20 10:20:40
1
semkwacha666
Semkwacha Jr. :
Offside inakuwa upande wa adui sio upande wako
2026-09-07 20:45:40
2
khamisihasani617
khamis hasani :
kwa Sababu jamaa alikua hajavuuk mtastar wa kati wa kwnd upand wa pili
2026-09-16 07:09:55
7
abdullatifdai
Abdullatif Dai :
kwa sababu hajavuka mstari wa kati bado yupo katika eneo la kwao wao kwaiyo haiwez kuwa ofside
2026-09-04 06:22:36
7
maxmillianmsola
maxmillianmsola :
alikuwa hajavuka msitari wa kugawa uwanja
2026-09-07 10:35:00
1
arshad.lao
Arshad Lao :
7bu mchezaji hajavuuka mstar wa kati
2026-09-16 11:03:58
1
johnssontz
JOHNSON Tz :
bado al8kuwa ajavuka mtasri
2026-09-17 12:56:54
1
officially_sharyf
Sharyf🇸🇴 :
hajavuka 50 yard y timu pinzani
2026-09-17 22:27:51
1
joshua.tarimo
Joshua Sport Hd Quality :
Yuko kwenye Eneo lake Bado ajavuka mstari wa Katika Kwenda Kwa mpinzani
2026-09-17 08:55:29
1
To see more videos from user @chijjogallery, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About