@zanakiyika.com: #viralvideos #trend #mara #musoma #butiama @ZANAKI YIKA @creatorsearchinsight @TikTok

ZANAKI YIKA
ZANAKI YIKA
Open In TikTok:
Region: IT
Monday 31 August 2026 11:53:39 GMT
43805
2594
65
132

Music

Download

Comments

michael.didle
michael didle :
Madee anamuacha voice wonder anaitwa ommy dimpoz
2026-09-23 14:09:43
3
richardimchome5
fuull bokasa :
kaimba nani hii
2026-09-22 06:37:37
1
kelvinngulu285
kelvin :
tunatumia kanda kipindi hicho nyie walitusaidia sana kuomba msamaha
2026-09-19 20:51:06
4
bambady7
Bambady :
tumtaka mika 30 ya bongo fleva
2026-09-20 12:15:07
4
user4606959973994
Reuben m misango :
da, umenikumbusha mbali sana nilishawai kuiandika apo umeiandika yote afu usiombe baruha mwalim aikamate aisome darasan
2026-09-19 19:19:17
3
babaadria1
baba Adrian :
wimbo ndo niliombaga msamaha kwa mke wangu na ndo ninae mpaka sasa duuuuuhhhhh
2026-09-20 06:48:47
3
nusurasaidi306
Nusura Saidi :
Dah kitambo sana nakumbuka siku nimeachana na mpenzi wangu duh.
2026-09-23 04:55:31
2
tesha.mwenda
Tesha Mwenda :
duh kitamboo
2026-09-01 18:21:20
2
nuhsamwel1
nuh_ssb :
Kama msomali
2026-09-23 09:22:27
2
joshrweyemamu
Jo Rweyemamu96 :
hv uyu jamaa mbona madee kamsahau kwenye miaka30 anajua hasa Ile ngoma yake nimpende nani voice wounder
2026-09-20 07:05:25
3
anjella.ngailo
Tinah netory :
jaman tunakumbushana mbali jaman watoto wa 2000 wanajikuta wanajuwa mapenz enzi hizo ukikosewa zinatafutwa nyimbo hizo zinapangwa mpaka unarainika
2026-09-24 19:22:41
1
patylovetz
Partylovetz :
Noma
2026-09-19 21:01:45
1
mtotowabalozi_
mtotowabalozi :
Ismail alirekodia ukuta wa jengo la mkuu wa mkoa opposite na uwanja wa mtekelezo
2026-09-23 11:09:38
2
veronicaerick541
My self😊 :
Sasa hv tunaomba mapenzi na nyimbo😂😂
2026-09-22 19:58:14
2
sabby8112
sabby🥰 :
uwiiiiii🥰🥰
2026-09-04 00:55:03
3
jerryfelixnyawehe
Jerry felix Nyawehe :
Hawa watu wasani huwa waendaga wap
2026-09-23 03:24:24
1
sagarajuma663
Sagara Juma :
niriandika baruwa nikapoteza nichotokea nirikimbia kijiji hiingoma sijui ata nisemeje😌😌
2026-09-23 13:46:57
1
tfive_mnyama
T Five :
hivi producer Saidi komorieh Yuko wapi jaman🥰 sijaona mtu anatoa hit za vinanda kama vyake ever🙌🙌🔥🔥🔥
2026-09-23 20:53:47
1
mrs.aadilun
MRS Aadilun :
saiv kwa ela😂
2026-09-21 05:41:16
1
mirahmy_
mir :
honey uliposikia,hukutaka kuelewa .....😊
2026-09-22 20:37:50
1
user5080787486378
Mrs 🫶gasto🫶👩‍❤️‍💋‍👩 :
voice wonder 📷📷kitambo
2026-09-22 19:17:08
1
richardimchome5
fuull bokasa :
nimeipenda sa hii
2026-09-23 14:52:15
1
queenflower45
queen flower💝 :
at mi akiniomb msamaha iv namsameh
2026-09-22 05:35:55
1
keephustling123
Nevergiveup :
Voice wonder
2026-09-21 05:58:29
1
rama.mpwato
Ramsey Jr :
Voice Wonder
2026-09-19 06:15:19
3
To see more videos from user @zanakiyika.com, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About