@smatiacompanylimited: BOSS, TUMEFANIKIWA KUSAJILI MOJA YA MAGARI YALIYOTOKA BANDARINI JUZI USIKU. Kwa sasa tunaendelea na zoezi la kusajili magari ya wateja wetu, ili tuweze kuwakabidhi magari yao pamoja na kadi za magari kwa wakati. SMATIA COMPANY LIMITED 📞 0785 957 264 📍 Ofisi: Posta, Ali Hassan Mwinyi Road, Upanga Street, karibu na Serena Hotel, Ex-NEDCO House Building, Floor No. 4. HUDUMA ZETU: • Clearing & Forwarding • Tunasaidia kuagiza na kuleta magari kutoka nje ya nchi • Tunashughulikia taratibu za magari hadi kukamilika kwa mteja. SMATIA COMPANY LIMITED — Huduma bora, uaminifu na usalama wa gari lako.

SMATIA COMPANY LTD
SMATIA COMPANY LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 11:55:08 GMT
516
49
1
1

Music

Download

Comments

allyrashid33
Ally Rashid :
nakubal mwamb
2026-09-03 23:05:35
0
To see more videos from user @smatiacompanylimited, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About