@mc_mgema: 🔥 Hakuna harusi ya Kiislamu inayopoa…! Kinachotofautisha ni vibe unayoamua kuileta. 😎🕺🏽✨ Ukiamua iwe ya furaha, heshima na burudani halali—inawezekana! ❤️🤲🏽 Bwana harusi leo ameonyesha wazi kabisa… harusi ya Kiislamu nayo ina moto wake! 🔥😂 #MCMgema #HarusiYaKiislam #IslamicWedding #WeddingVibes #BwanaHarusi
MC_Mgema
Region: TZ
Monday 31 August 2026 11:55:07 GMT
Music
Download
Comments
Sherry Meddy :
MashaALLAH naomba umtag camera man km hutojali
2026-08-31 18:37:40
1
ukhuty ney :
nashallah
2026-09-01 09:17:11
0
Zwaddy🌹🤍 :
MashaAlllahhhhhhhhhhhhhhhhh🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-31 17:15:18
0
~Z~official🥰💗🧕 :
jmn mbona hii umependeza kuliko zile za kiswahili zinazo tuzalilisha🥹🥹
2026-09-01 07:18:32
4
Najmaah Muislam girl ❣️ :
inshallah na mm ipo siku nitaheshimika
2026-09-01 06:53:31
2
user mama bilali mpambanaji :
mc nimepata bado mume🥰🥰
2026-08-31 17:26:16
12
Dr issa :
allahuma jaalnakum mawaddattan wa rahma ♥️♥️🔥🔥🙏🏿🫴🏿🫴🏿
2026-08-31 21:41:14
6
Asha Malamwa :
Hakika imefana inavutia.. Mashaallah ikawa heri na baraka
2026-09-01 07:32:12
1
😘 :
tunawatakia ndoa ya kheriiiiiii🥰🥰🥰
2026-08-31 20:01:42
2
mamukhamis :
MC nishapata bado mume sasa😂😂
2026-09-01 02:18:26
2
fetyy :
maashllaaaa ❤❤ maashllaaaa ❤❤ maashllaaaa ❤❤ maashllaaaa ❤❤
2026-08-31 19:38:23
1
Albashiry de Sayyed :
mashaallah kaka kiukwel unafanya harusi zetu ziwe na hadhi na zakuvutia zaid allah akubarik na akujaalie umri mref na afya njema #uncle akharaq
2026-08-31 12:18:17
5
Princessy Kussag :
mashallah mashallah
2026-08-31 12:59:17
2
mishely❤️💞😉by :
Mungu kama huyu 😌😌
2026-08-31 21:53:17
1
maomryomry :
mashaallh
2026-09-01 04:22:49
1
Aaliyah smart :
Ndoa hii isionje mauti
2026-09-01 04:56:36
1
Girl in Hangar🌹✈️ :
MC nishapata bado kijana mstaarabu , jasiri shupavu🥰
2026-09-01 08:16:19
0
halimaramadhan508 :
waoooh kwan hao wanyuma wote wanawake MC😂🥰🥰🥰
2026-09-01 03:53:44
0
Khadijasamiry :
mashallah
2026-08-31 18:13:38
1
Jamila Hamadi :
cjui kwann natabasamu🥰
2026-08-31 17:40:34
0
mtoto wa kitanga :
mashaallah kila la kher kaka kwenye ndoa yako
2026-08-31 17:30:54
2
sada habibu :
mungu atufanyie wepes ndoa yako azid bark na mawelewano
2026-09-01 06:12:30
1
umuiman :
mashallah mashallah
2026-08-31 16:22:43
1
Muslimah gurl💫🤎🧠 :
Mashaa Allah..Alf Mabrooq🥰
2026-08-31 12:32:27
1
😘 :
mnawapata waapi tupeni chimbo na sie
2026-08-31 20:01:04
1
To see more videos from user @mc_mgema, please go to the Tikwm
homepage.