@abdulhafidh575: AMKA AMKA AMKA

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 12:21:48 GMT
341115
20409
578
2388

Music

Download

Comments

jaamilarajab2
jaamilarajab :
mimi napata pesa nafanya mambo hayana maana nikizipata tu alafu najuta
2026-08-31 15:14:58
107
user7681711162638
user7681711162638 :
ofisi yako ipo wap ?
2026-08-31 12:40:15
5
fatma_shiraz
Mummy_Nana🌸 :
Dawa gani shekhe mi nshachoka wallah na ndoto za shule
2026-08-31 12:32:44
37
sashbabe254
🦋Sash Babe 🦋 :
nawatufanyie yote lkn wakumbuke kuna n kufa kurudi kw Allah acha waturudishe tu
2026-09-01 11:24:15
27
mustaphaa.bay0163
Mustafeyni-TV :
Yaan ndoto ya shule zinasanq dah najitahid kuomba dua Ila Bado tu wallah mtihan 🥺🥺🥺
2026-08-31 14:45:04
18
user3581639305799
da emmy😘 :
tutaendelea tu kwa uwezo wa ALLAH
2026-10-04 23:02:21
9
golden_rootsbyshadya
Golden_roots_byshadya :
Yani huyu mimi mtupu shekhe 🥺
2026-09-21 07:18:57
10
noelnanjala
Miss Noellah :
that's me yesterday 😭😭😭
2026-10-08 10:19:06
1
yussufsuhel1
💯 يغسف💖💗 :
Mie nilipata na mpa muhindi nifanyaje mana nataka niache mimi
2026-09-29 11:29:49
1
f.mutheu_1
Faith Mutheu :
nilikuwa hivo kumbe ni nyota ya mafanikio ilikuwa imefungwa but nilipatana na babu wa kitui akanifungua na kuniondolea nuksi
2026-09-04 19:05:41
8
asiahdmcfrf
siah💖 khan💕 :
Ata mm naota kila siku np shule naota adi walimu wallah
2026-08-31 18:50:57
5
goodluckmakarang78
Awadhi :
daah shekh mwenyewe inanitokea sana iyo nikipat pesa majang kibao yanajitokeza
2026-10-03 22:26:49
2
prospera884
Prospera 💜 :
yaan ni mimi kabisa na nina umri mdogo bado🥺🥺🥺
2026-10-05 11:34:48
3
jrasheed60
J Rasheed cosmas :
Tuendelee KUWAOMBEA WALIOUWAWA OCTOBER 29
2026-09-24 12:40:09
7
medoh.brown
Medoh brown :
Uko sahihi sana..mm naota shule sana napesa hazikai
2026-09-30 08:33:36
4
clematis.mpaze21
Mom G :
huyo ni mm shekhe jaman😔
2026-08-31 14:27:26
13
zash.beb
Zash beb :
mm ustazi nikipata pesa sifanyikitu yamana Hadi nashangaa na ndoto za shule naota kila wiki mara3
2026-08-31 13:29:10
5
binfakih2
bin fakih :
ndio mm sheikh....niko na kz na mshahara mkubwa tuu ila ikiingia hela imeisha kwa shida za home
2026-10-04 08:46:27
2
ummymohammedy1
user7090653371748 :
kunamuda kwass kuamin watu hasa wamtandaon nishida ilaww nakuelewaga sana fanya kwaajili ya allah walah mwenyezimungu atakulipa inshaallah
2026-09-23 05:54:48
3
bahir.godsent
Bahir Godsent :
tuelekeze tiba
2026-10-03 11:22:22
1
user6340826114851
user6340826114851 :
ni mim huyoo ndoto za shulee naota mara nyingi sana na pesa nikipata leo kesho sina mweeeh nifanyaje
2026-09-30 20:57:09
1
user9044252396958khalfan
khalfani kasirani mohame mnyet :
ostadhi mbna umenigusa mm
2026-09-30 05:16:33
1
bwin142
jaydanny :
shehe nikuulize wewe uko na pesa mingi saa hii unisaidie nione kama naeza save.
2026-10-05 21:37:19
1
yusuphmubi1
yusuph mubi :
kweli kabas shekhe me mwenyewe nilikua hivyo kila nikipata pesa ilikua haikai
2026-09-28 11:35:33
4
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About