@dr.domi1: ✅ Vyakula vinavyoweza kusaidia 🥣 Uji wa oats 🍚 Wali 🥔 Viazi vilivyochemshwa au kuokwa 🍌 Ndizi zilizoiva 🍎 Tufaha lisilo na uchachu mwingi 🥑 Parachichi kwa kiasi 🥕 Karoti na mboga zilizopikwa 🥬 Mchicha, sukuma wiki na mboga nyingine zisizo na pilipili 🍗 Kuku au samaki waliopikwa bila mafuta mengi 🥚 Mayai yaliyochemshwa 🥛 Mtindi usio na mafuta mengi, kama haukuchochei dalili 💧 Maji ya kutosha