kwa nn usimamishe ndo uwape kwa upendo kuliko kurusha umekosea kurusha lakini
2026-08-31 13:35:41
74
Lwitiko Mwandiga :
nimependa kwa upendo ulio onesha watoto ila ingependeza zaidi ungesimama na kuwapa🙏🫡🇹🇿
2026-08-31 17:40:40
40
Ninoh 🤎 :
HII NI GARI KUBWA KUPARK PEMBENI YA BARABARA NI HATARI KUTOKANA NA UFINYU WA BARABARA NYUMA KUNA MAGARI MENGI PIA HAWEZI KUWEKA JAM KIKUBWA WATOTO WAO WAMEFURAHI SANA NA WALA HAWAJAWAZA MNAYOSEMA NYIE nimeandika kwa msisitizo sana MUNGU AKUBARIKI SANA BROH🥰
2026-09-01 07:26:45
12
Vee~Jose :
Kumsaidia binadamu ni kazi ngum sana wallahy utafanya wema bado wema utakosolewa looh🙌💔
2026-09-01 05:00:08
23
John Chapaulinge :
wataraumu watu ambao awajui gali uwezi simama mlimani kwa usalama upendo wako unatosha ulio uonesha mungu akutangulie mtumishi wa mungu
2026-09-01 05:34:13
13
Khadija juma :
umetisha sana ila wakati mwingine usimame kaka chakula hakilushwagi
2026-08-31 18:26:26
8
🍀 . ISACK.🍀 :
Respect 👊👊
2026-09-01 09:02:39
0
čàrrÿstø JR26💪 :
life road kusimama ngumu jaman gari kwanz inapanda km inamzigo ndo kqbisq una riski magar mengine busta jau km hazijai wafa
2026-08-31 19:17:07
12
Madeeh Sam :
umefany powa ila tatizo limeanzia kwenye kuwa Rushia kak
2026-08-31 19:30:11
7
Upendo :
Kwa ushauli tu bro ili usije ukasababisha ajali uwe unasimamisha gali ili uwape
2026-09-01 07:26:15
0
Goodluck Oscer :
wasio jua wanaona unawalushia kumbe kuna kulusha na kucheza na watoto hongera kaka