@uhondo.tv: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema mara nyingi askari polisi wanapofanya kosa dogo, tukio hilo hupewa uzito mkubwa na kusambazwa hadi kumfikia Rais, huku kazi nzuri wanazofanya kila siku zikisahaulika. #UhondoTVUPDATES
Uhondo TV
Region: TZ
Monday 31 August 2026 12:36:14 GMT
Music
Download
Comments
addy victor 🦋 :
Wana msaada sana kwa watu wenye shida ambazo znatakiwa kutatuliwa na polis Kama hayaja kukuta uwez jua Katambi anaongea nn
2026-08-31 14:25:04
26
kama hujavamiwa polis utaona si lolote pata matatzo ndo utawaona umuhimuwao
2026-08-31 19:32:40
8
mathayo thomas :
Tusifiwe walipa kodi sio wanaotumia kodi
2026-08-31 12:49:47
7
allbrightsteven :
na October 29 walifanya kazi nzuri kweli tuwapongeze
2026-08-31 16:56:29
2
B.St@n :
Usisahau Kuna walizi binafsi kwenye maduka yetu mkuu.
2026-08-31 16:25:21
4
Lalashe Loita :
uishi miaka mingi wazari katambi🥰🥰🥰
2026-08-31 13:32:37
7
JitaMan :
pointless 😭😭😭
2026-08-31 15:44:55
0
Em🔞👈✨ :
tangu lini police wakalinda maduka
2026-08-31 17:31:59
0
khamis kombo :
ahsant kiongoz wetu
2026-08-31 14:31:06
2
Mt Bekah Tz :
hakuna lolote
2026-08-31 13:41:05
3
PANCLASSIC :
nchi iko slama kwasababu watanzania wanafuatilia mambo ya watu kila mtu akiwa bize na kazi yake muachwe mfanye kazi yenu mtapata tabu crooks
2026-08-31 14:14:32
3
Phatreyz Humphreyz :
Kweli watu wanalala💪💪💪
2026-08-31 16:33:09
2
SammyAfro16 :
Hayo ni majukumu Yao ko tuwasifie ili iweje xax
2026-08-31 17:52:06
1
Judith petro :
Mungu awe nawe
2026-08-31 12:44:24
2
D cent Marius :
wameshindwa kazi tunajilinda ss wenyew na bora mmegundua kuwa hatuwasifii..
2026-08-31 18:30:37
1
GodfreyTowo :
mkuu madereva wanateseka mkuu leseni changamoto
2026-08-31 14:51:15
2
$ :
Ni kwely mkuu
2026-08-31 13:45:43
2
seleman sele :
nashindwa kuelewa
2026-08-31 14:39:14
0
JM :
mbona pole pole haongelewi?
2026-09-01 18:50:05
0
SEM :
Huyu nani
2026-09-01 12:46:47
0
Said 0mary :
tuwasifie ili iweje kwani si tunawalipa ndomana wanatulinda
2026-09-01 17:20:58
0
innosenti johni :
kama wanafanya mabaya wasisemewe au
2026-09-01 17:15:10
0
user4486131421634 :
kumbe mnalijua Hilo kua hawasifiwi
2026-09-01 16:54:50
0
Evance Isah :
Kwani wanajitoleaa au nikazi Yao???
2026-09-01 18:33:46
0
mwakalinga :
cjuwi kma anachoongea ukimuuliza kesho atakijuwa
2026-08-31 15:41:33
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.