@surasioroho4:

hoosee bike
hoosee bike
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 12:39:42 GMT
35434
1588
36
31

Music

Download

Comments

westlake.tz
Westlake Tz :
Mimi sinoray yangu ilikuwa ikichemka clutch haishik kwenye jam shida tupu
2026-08-31 18:02:00
3
abdulibira
abdulibira860 :
unawez kuwek plet clutch 6
2026-08-31 18:44:57
0
dj.fey.tz
DJ FEY TZ :
oya mwanangu naomba unisaidie kitu kimoja. nin Kinglion150-9. ina tatizo la kunyonya betri nimebadlisha rectifire,coil na batri mpya lakin tatizo lik palepale na inanyonya hasa ukiwasha taa2 hata kama ukiwa unakimbia huku taa inawaka unashitkia2 betri imemalza chaji. na ukizima pikipiki ucku taa ya paking ya mbele naza dashbod zinakua zinawaka kwa kufifia kwa mbali. je nin shida naomba msaada ndug zangu.
2026-09-01 10:13:51
0
user5430321176309
user5430321176309 :
Nina Sinoray ya kizamani Sin 150-19 toka 2018 mpaka Leo 26 sijawahi kushusha injini Wala hiyo clutch haijawahi kusumbua. zaidi tu tank iliingia maji nikabadili kabreta
2026-08-31 23:13:55
1
mshemwaclassic
mwarabu wa ng'ambo@973 :
nakukukubali san
2026-09-07 14:49:43
0
ramadhanmshihiri0
@Mshishi_Jr_ :
FUNDDIII FUNDIII
2026-09-06 18:50:28
0
cannosah
Cannosah🥷🏽⚓ :
sahih mkuu
2026-08-31 18:30:10
0
user2668187407811
J.amenye :
Tunaomba namba yako mwamba
2026-09-06 17:21:05
0
jizo646
Jizo~☘️ :
Kak pik pik yang tvs kasongo 125 inakipngele kimja kila nikivuta mafuta xleta inagonga mpk mwish lkn chuma haitembei kbc yan shida itkuw nn ap
2026-09-02 02:55:29
0
user3877529458853
yusco :
iv unapatikana wapi wewe
2026-09-01 04:33:18
0
ji2lam2mbamwashit
0777401026 :
nakubalali kaka
2026-08-31 19:50:36
0
portraits_photographer
Joh pixel Photography :
kweli zinaua glach
2026-08-31 20:13:47
0
frank_og_mpwage
FrankÕgMpwage :
umenyooka mkuu 🫡🫡 sino gang tunakuelewa
2026-09-01 07:19:41
1
user485948571021
Officia G ✨ :
brother nahitaji engine used inapatikana
2026-09-01 09:50:19
0
libaramusi2
nasibshamte655 :
cluchcenter ya HD 125...UNAWEZA KUWEKEA SPRING HIZI AU
2026-08-31 20:20:14
0
cleverfaghter45
faghter j7 :
upo sahihii
2026-09-01 06:45:46
0
gendobrand7
GENDO BRAND :
Sawa kaka nimekusoma
2026-08-31 13:28:25
0
maichubachacha
chacha maichuba :
oya wazee sinoray yangu ni 180 timming chain ina tatizo la tutomaliza resi, ukivuta mwishoni inamisi balaa kwaiyo haimalizi moto nimebadilisha kableta, egnation na wiring ikasukwa upya lakini tatizo liko pale pale wakuu naomba msaada
2026-09-01 15:30:40
0
mwalimuchris0
Mwalimu Chris :
safi saan kka
2026-08-31 18:18:44
0
badwiz_57
msolidi :
eti kaka cava la engine sinoray sh ngap mpya
2026-08-31 15:08:00
0
charlesmwakitwang
charles :
naomba namba Yako fundi
2026-09-07 02:28:01
0
d.sammy66
RAIS WA MAISHA YANGU :
kwa hiyo ile hali ya cluch kulegea inakwisha?
2026-08-31 16:27:17
0
emmatrueboy
Emma true boy🤏😎 :
ila Usisahau kuwaambia na klach itakua ngumu unaposhika juu
2026-09-01 09:23:15
0
user1593634634105
ENGINEER MKWEPU :
hebu elezea kitaalam inatenganisha vipi izo clurch siyo spring tu watu kukusiliza ni lazima uwe na maneno ya kuwaelewesha watu kama uwezi kutolea statiment ni bola uka unatia mziki tu
2026-09-09 14:44:12
0
majeje.47
MAJEJE 47 :
🔥🔥🔥
2026-09-01 12:34:53
0
To see more videos from user @surasioroho4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About