ivi saivi overthinker ndo trending ya mjini au maana kila mtu anazungumzia 🙄😬
2026-09-01 04:10:48
51
Tricy John :
Hii stuation ya overthink inanitesa sana ni kama niko na homework ya overthinking😞🙇
2026-09-01 05:46:37
0
Bossbaby 🌺 :
Ila tunapitia magumu sana tunawaza adi kichwa kinauma na tunaunda vitu kichwani mwetu tunachambua sanaa japo tutachowaza ndio ichoicho kinatokea
2026-09-01 05:27:48
34
DIAH_REE🍂✨ :
Ndy man ckai kwenye mahusiano mimi uwii😂😂😂😂
2026-09-01 19:03:19
6
𝓲𝓽𝓼>>𝓵𝓲𝓷𝓷𝓪𝓱 ᥫ᭡ :
Na tunachowazaga inakuag kwel
2026-09-01 04:35:41
26
Ally omar :
wife ananiita mchawi coz of this situation
2026-09-01 20:04:56
1
★🖤ĹÕẀƘÉỲ ŠÒÚĹ🥀 :
huyo ni mm na ndio maan sidum kwa relation😂😂
2026-09-01 00:56:27
9
Ernest :
wengi wao sisi ni group O+ usiwshi kutudanganya.
2026-09-01 07:44:10
11
DAUGHTER OF GOD 💞 :
kwahiyo saivi ndo tunatrend au ni hiki ninachokipitia😂
2026-09-21 15:19:42
1
leshmpole :
mm ata unisho eti tumeet naona kama unanibeba ufala maybe Dio sababu Niko single😂
2026-10-11 12:48:13
1
Blessings from God :
Yaan nakumbuka hyo SKU MTU aliniambia anaumwa saa nne ya asubuhi analala hyo SKU piga sm haipokelew mara ikatwe na sokawaida usku skulala roho yangu ilikua haitulii asubuhi pia hakupokea cm wala SMS hazikujibiwa nilienda nikakuta yupo na MTU hakuamini macho yake
2026-09-26 07:57:01
0
Fatma :
Unajua kaka unanidai pesa ya soda
2026-09-01 06:05:02
1
Gal toto💘💘💘 :
tena overthinker akipendwa kwel huwa anaacha ku overthink kwel??
2026-09-02 16:38:21
0
Phina next boss moma🛍️ :
Mm jaman kbsa uyu uyu uyu mm jmn overthinker jamn napitia magumu
2026-10-04 21:03:33
1
Reymdory ♉️😘 :
Mimi kabisa huyoo we fanya yote nidqnganye ila ntakujua tyu
2026-09-01 11:45:54
0
♥️زينب ❤️ :
mh kazi ipo!Sasa nawezaje kujitowa huko jamani??
2026-09-03 06:34:59
0
❣️❣️❣️❣️❤️ :
ko sahivi ni ova think 🤔 ndo habari ya mjini😁😁
2026-09-01 13:11:30
0
Alya-💥🇹🇿 :
Mi juzi mmewangu ananiambia yan mama ukikaza saaana utakuwa nabiii maana kuna vitu unaniambia nabisha ila vinanikuta sema nakuongopeaga ili usinione mjinga
2026-09-01 07:03:27
0
Gracious mfinanga :
Yaani mm ndo na U FBI upo ndan yangu yoooh jmn naweza kuconnect dots kwanza mpka napata jibu hamnaga dawa ya hii kitu
2026-09-01 06:15:05
2
ADMIN✅ 🇹🇿🇿🇦 :
NA SAIV KILA MDADA ANAJIITA OVERTHINKER 😂😂😂
2026-09-10 13:00:48
2
Amos Sengerema :
Ee kwanini abadilike ghafla huwaga ni ukweli
2026-09-01 08:23:19
0
Salome_robert :
Mimi naumia sana na hii hali
2026-09-02 08:59:51
1
Miss___T✨🦋 Katoro :
Mi akili hizo Mungu anitolee hicho kipaji mahusiano yananishinda mi mfukunyuku sana unaweza sema mchawi😂😂😂😂
2026-09-01 03:41:43
0
EXODUS 14:14 :
jaman mtupumzishe jaman mpaka naanza kujiona kama special group
2026-09-02 21:14:52
1
shuu12 :
😀😀😀😀najiona mimi kabisaa daah kunamda natafutaga ugomvi tu bila sababu yaan
2026-09-01 05:52:43
0
To see more videos from user @eastkid21, please go to the Tikwm
homepage.