@thebridge.tz: Twambie ! unachanganya na nini?

THE BRIDGE 🇹🇿
THE BRIDGE 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 13:18:18 GMT
39631
1378
94
43

Music

Download

Comments

igogo_jr
Bita Charles :
Ukimix na redbull au Cranberry juice inakua poa
2026-09-01 04:16:51
11
mutesawani
Mutesa Wani :
lemonade
2026-09-01 10:57:00
1
haleluya.tz
haleluya tz :
kulipa ini shida tuu
2026-09-02 04:04:09
1
kephawao
Kephawao :
whisky lakini ni Brandy???? mbona Whiskey na Brandy ni vitu tofauti
2026-09-01 09:48:28
2
icecoffee897
Ice coffee47 :
Cognac ni brandy ambayo inetengenzwa ufaransa tu mji uitwso cognac lakini brandy uninaweza kutengenezwa nch yoyote
2026-09-01 08:27:31
2
albertpike78
Albert Pike :
hela yangu bado unanipangia jinsi ya kunywa?
2026-09-01 21:44:39
1
chirdmr29
Chird Miwan🇹🇿 :
bei tujue
2026-09-01 19:00:55
1
songmalemi
Malemi Kasongi :
mmmmmh😢😢, No Bro. I think hiyo inayo style yake tofauti ya how to serve it. Jaribu kupitia notice zako vizuri.
2026-08-31 23:56:25
4
user321564505
hassanarymohamed :
mimi natumia red blue
2026-09-01 16:49:17
1
nemah031
Nemah :
mambo yangu😂😂
2026-09-01 12:10:42
1
josephathproches
bancoo silayo :
Ton
2026-09-01 06:27:55
1
brunomathias46
Bruno :
usitupangie😁
2026-09-01 17:07:50
0
amour.ging
Amour J Ging :
HELA YANGU ULIYONIDHULUMU BADO NAISIKITIA ROHONI IDRISSA
2026-09-01 21:14:10
0
andrew_mlay
Andrew 3 :
Uwe Unatupa na Bei Elekezi maana kuna Feki Kibao.. Kuzitambua Inakuwaje.. Maelekezo 🤣🤣..
2026-09-01 07:46:09
1
jonhson.arus.mupe
Arus Mupenzi :
Cognac ni tifauti na Wiscky kaka
2026-09-01 10:28:04
0
chirdmr29
Chird Miwan🇹🇿 :
bei
2026-09-01 19:00:36
1
madamebalozi07_
madamebalozi07_ :
Kumbe ni konyagi hiyo?!😂 Kwisha gudubai
2026-09-01 04:55:03
1
sirmduge
sirmduge :
What if nikiamua kuibutua kavukavu? Nisichanganye na kitu si ndio best option au mm ndio nimechanganyikiwa?😂
2026-09-01 00:00:03
3
sailor91chris
EA TRANS :
ongea yote ila figo linakufa,alafu sugar tu hapo
2026-09-01 04:39:11
1
zopper8
ZOPPER :
Kama unataka soda kanywe soda,mamb yakuchangany whisky na soda hatutaki meza hii
2026-09-01 02:27:52
1
mizeir83
Milleen :
na kilimao kidogo
2026-09-01 04:44:58
1
abuukatipula
mkwele03 :
iyo hennessy shingap
2026-09-01 01:30:48
2
pakapoli6
PAKAPOLI 🐊🐺MLAMAPUPU 💫 :
niki changanya na maji ya vhai itakuwa bomba?
2026-08-31 22:16:53
2
yusuphjulius
BUPILIPILI :
mi mbona nachanganyiaga K VANT halafu fresh tu🤣🤣
2026-09-01 09:41:58
2
To see more videos from user @thebridge.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About