@faidikanandoayako:

🌹faidika na ndoa yako🌹
🌹faidika na ndoa yako🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 13:48:13 GMT
70445
2829
42
240

Music

Download

Comments

rehematz53
REHEMA COLLECTION :
somo ni mmoja tu ogopa matapeli somo yusra hoyeeeee🥰😍
2026-08-31 14:18:18
5
tawhida.mohammed3
Tawhida Mohammed :
somo mweny hekima na bushara wari wak tunajivunia kuwa na somo mweny hekima km ww ndo maana mafunzo yak unatusisitiza heshim na hekima Allah akuekee kwa ajili yak tunajivunia uwepo wako 🥰
2026-08-31 14:37:04
12
teamsomoyusra26
💃🏻team somo yusra💃🏻 :
Somo Yangu Allah akurinde Nakupendea Hapo Kwenye Busara Zako Tu 🥰🥰🥰Wari Wa Somo Yusra Wote Gonga Like Hapa Somo Tunae Na Tunatamba Nae.♥️♥️♥️
2026-08-31 14:01:50
17
harrian09
Leemah :
Mashallah somo yangu Allah akulinde na akujalie mema
2026-09-01 05:41:59
4
user95651193087631
Hamadi othmani omary :
asalamualaikmu upo wapi kipenzi
2026-09-01 06:21:00
1
bintabdallah24
Mrs S. :
mashallah somo kama somo Allah akufanyie wepes na akupe subra pia usiwajibu hata waarabu wanasema السكوت سلامة
2026-08-31 19:12:05
4
mimahiddi
Mimah cakes :
Assalam aleykum naomba kuungwa kwenye group
2026-09-02 19:33:46
0
user3939838053550
jannat kuraish :
Allah akuhifadhi somo yu ahadi yangu ni ile ile InshaaAllah kama si mdg wangu basi mabinti zangu InshaaAllah niwalete kwako Allah akuweke salama somo.
2026-09-01 07:42:16
2
amina.vuai2
Amina Vuai :
naomba kuungwa darasa
2026-09-01 14:12:36
0
idhabebe23
🍒SULESHI MOM🍒 :
inaitwaj Qaswida🥰
2026-09-04 05:31:16
0
queen.khadija311
queen khadija :
❤️❤️❤️
2026-09-03 15:33:39
0
user7vj70u3gb2
2ma Beby🥰 :
Kwani hii nyimbo kumbe ilikua itakuja itrendi gai
2026-09-02 09:02:43
0
saidmtushule
najilaty :
mashaallah
2026-09-04 07:53:43
0
user4288139863126
user4288139863126 :
assalamualaikum namba kuungwa kwenye group
2026-09-03 15:18:39
0
useemmylove124
emmy love124 :
naomba kuungwa
2026-09-03 14:09:11
0
mrsomar254
🌹💍مريم❤️‍🩹 :
naomba kuungana
2026-09-03 05:59:39
0
aishaathumani100
Aisha Athumani :
mashaallah
2026-09-02 17:41:00
0
user7252804180071
user7252804180071 :
naomba kuungwa group
2026-09-01 14:28:18
0
nahyanahya466
Mrs hans breezy🎂 :
niungeni kwa group
2026-09-01 15:48:53
0
ukhtybuthayn5
UKHTY BUTHAYNA ❤️ :
Allah akutunze hakika,wewe ndio somo,hakika somomwenye hekima anakuwa na mdomo mzuri,pia anastaraa mashaallah mashaallah Allah atukunze
2026-08-31 17:36:02
3
user95651193087631
Hamadi othmani omary :
umeolewa
2026-09-01 09:37:05
0
ukhtybuthayn5
UKHTY BUTHAYNA ❤️ :
alafu,ukimya dawa toshaa,ukiona mtu anaropa ropaa basi huyo Hana maana,Allah akupe hekima zaid na zaid
2026-08-31 17:36:34
3
laty.yummy.cake
sada mbaruku@23 :
somo wa Dunia unapewa elimu ya ndoa elimu ya dini Na elimu ya dunia 🙏🙏mm nan niende Kwa matapeli kupewa limbwata🤣🤣
2026-09-01 09:24:41
2
user3972681979997
Maashaa Allah :
❤❤❤❤❤❤
2026-09-01 17:36:40
1
To see more videos from user @faidikanandoayako, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About