heeeheee! huwezi badilisha mtu labdha umshawishi yeye mwenyewe aamue kubadilika. Ameoleka ila safari haijaisha hiyo
2026-09-01 04:00:36
1
ymah.royal.glam💄 :
na ndio maana hatutakiw kumuhukumu mtu coz hatujui sababu inayopelekea mtu kufanya mambo yasio sahihi lakn piah anatokea mtu sahihi na kufanya yaliosahihi chini ya jua kila kitu kinawezekana tusihukumiane
2026-09-01 05:32:27
2
mr joh 2001 :
kiukweli,mwanaume ndiye muanzishaji wa kila jambo hapa duniani
2026-08-31 21:20:47
3
ISSACK MBEMBATI :
tukimuai anapona
2026-09-01 09:13:20
1
Pendo_J :
cyo wote dada poah wanapenda kuwa hivyo wengine hali za maisha na uwezo wa kufikiri kwamba njia sahihi nipate ziriki kwa haraka niiyo.bt....
2026-09-01 08:32:50
1
Moody :
sio wote
2026-09-01 11:35:33
0
tauszabron :
amina
2026-09-01 09:22:30
1
tedy :
kwaiyo unatushari nini
2026-08-31 14:37:47
0
D.sony :
Kama yupo dada poa akuje nimuoe
2026-09-01 10:01:12
0
Abdallah Seleman Chambuso :
kaka mimi siyo kwa kuwadisia mjomba angu mimi kaowa dada poa ila mpka sasa anawatoto2 namaisha uanaenderea
2026-09-01 02:38:02
1
Dear Momo 🌟 :
sahihi
2026-08-31 21:28:21
1
Shady❤️ :
Fact
2026-09-01 07:43:29
0
Maplan tizedy! :
inawezekana ila me ziwezi!
2026-09-01 08:33:43
0
Gerrald air condition :
mhh apana kwakweli
2026-09-01 09:23:57
0
tukae one :
umeongea kweli kaka
2026-09-01 09:33:07
0
Eric cantona :
noma sana 😂
2026-09-01 09:27:38
0
salma mwenyewe :
asantee kaka 🥰🥰🥰🥰
2026-09-01 11:03:29
0
D.. $∆nity :
bro ndio mpk umpate huyo ambae ameamua kubadilika hivi viumbe ni hatari kuliko moto wa umeme
2026-09-01 13:44:31
0
To see more videos from user @lovedisaster1, please go to the Tikwm
homepage.