@atukuzwe.mwakalong: NDOA SAHIHI NI HIIII

Atukuzwe mwakalonge
Atukuzwe mwakalonge
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 14:38:47 GMT
45015
3000
196
487

Music

Download

Comments

filimonzabron0gma
Mr Mon tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
asantee mama mkwe
2026-09-02 08:21:48
0
polline.shirima
Polline Shirima :
kweli Mamu be blessed
2026-09-02 06:47:39
0
user5360275970141
Anastasia :
mama. Marshall mazuri niyawachach
2026-09-01 14:13:34
0
arnold.chichi1
Arnold Chichi :
Well spoken madam 🇰🇪
2026-09-02 08:48:42
0
mamy.faith0
Mamyfaith :
Maswala ya ndoa ni magumu jamani hakuna mwanamke mkorofi jamani,,ukorofi wa mwanamke unatokana na tabia mbaya za mwanaume.
2026-09-02 05:29:22
26
joycelema_
Joyce Lema :
asante
2026-09-02 07:36:27
0
user26545244026324
Grace :
hongera mama ujumbe mzuri
2026-09-01 16:55:21
14
fiorentina7898
fiorentina :
wanaume wamefurahia sana hii
2026-09-01 18:45:48
9
user9372790784030
Godfrey :
asanteeee
2026-09-02 09:56:59
0
ephaframumy
Ephafrahmumy :
wanaume wanatutalwa vibaya mama an wanatunyanyasa kihisia na kutoka nje ya ndoa bila sabu za msingi
2026-09-02 11:28:14
3
user4223457438734
jackson :
mkewangu anasema anashelia zake na mimi nina shelia zangu
2026-09-02 07:02:08
9
odindo40
McOdindo :
MUNGU HAKOSEI,YAANI UKIENDA KINYUME NA AGIZO LA MUNGU HAUTOBOI WALLAHI
2026-09-02 08:53:05
4
lawinabeauty1
lawinabeauty1 :
Ameen Ameen mama kwanza hata nitakapokua mwanamke tajiri mimi nitakua tajili kwa nje ila kwa Mume wangu me nitakua chini yake yani me nitakua masikini kwa Mume wangu
2026-09-02 09:23:05
7
mathayosimeo1
mathayosimeo :
safi mama yaambie
2026-09-02 04:08:40
6
robby.rone
Robby Rone :
Weeee mamaaa Nakupendaaa saaanaa …point!🫡
2026-08-31 15:19:26
9
madamagness1
Agness 👌 :
ukitawaliwa wewe inatosha🙏
2026-09-02 06:01:49
1
user6679936204182
user6679936204182 :
point🥰🥰🥰
2026-09-02 03:22:11
1
charlesphilimon
@Char's Jr :
Ushamaliza
2026-09-02 04:16:26
1
eunicejoshua33
eunice :
ameeeen
2026-09-02 03:40:50
1
lutego2
lutego :
mama nimekuelewa muno
2026-09-02 04:56:34
1
kelvinngoda
Kelvin Ngoda :
ubarikiwe mtu wa Mungu
2026-09-02 03:58:38
2
user46597674222826
Daudi :
ûishi miaka 250
2026-09-02 02:43:11
4
covuh.brown
jamila.sinay :
kutawaliwa kwa upendo sawa ila km kiutumwa hapana aisee
2026-09-02 09:25:42
3
ngosha.dalali
Ngosha Dalali :
Hii wanaiweza wachache
2026-09-01 05:42:57
3
linah.samweli4
LINAH SAMWELI :
amen mama asantee binafis nimekuelewa ubarikiwe asante kwakutukumbusha🙏🙏
2026-09-02 11:10:12
1
To see more videos from user @atukuzwe.mwakalong, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About