@insideoutz__: 👑🔥 DULLY SYKES: MUASISI WA BONGO FLAVA AU ALIRITHI MTINDO WA DAZ NUNDAZ? Historia ya Bongo Flava ina mjadala ambao haujawahi kufungwa. Wakati Mike Mhagama anatajwa kama mmoja wa waliopachika jina "Bongo Flava" hewani, jina la Dully Sykes linabaki kuwa nembo iliyoupa muziki huu sauti, personality, na taswira ya mtaani. 🎤🇹🇿 Kwenye mahojiano yake na BBC Swahili Swahili (@loko_omi), Dully anafunguka kuhusu nafasi yake kama muasisi wa kile tunachokiita leo Bongo Flava. Lakini upande mwingine wa historia unahoji… Dully hakuanza kila kitu kutoka sifuri? 👀 🎧 DAZ NUNDAZ WANASEMA NINI? Wakongwe Feroouz na Daz Baba wamewahi kupinga Dully kuitwa muasisi. Wanasema tayari kulikuwa na watu waliokuwa wakifanya majaribio ya kuunganisha Rap, kuimba, na midundo ya mtaani kabla Dully hajawa maarufu. 🎛️ ROLE YA DJ IBRA Katika simulizi za Daz Nundaz, DJ Ibra (ndugu wa Unique Sisters) anatajwa kama mtu aliyewapeleka studio kurekodi kwa mara ya kwanza hatua iliyofungua milango ya safari yao. Hii inathibitisha kuwa Bongo Flava haikujengwa na mtu mmoja. Ilikuwa ni matokeo ya wasanii, DJs, na producers waliokuwa wakifanya majaribio pamoja. 👑 LAKINI KWA NINI DULLY BADO ANATAJWA KAMA PIONEER? Hata kama mtindo ulikuwa ukijengwa, Dully alikuwa miongoni mwa waliouthubutu, kuupa vionjo vya Pwani na Rap, kisha kuufikisha kwa jamii kupitia ngoma kama Julieta na Hi. 🔗🎥 @bbcswahili 💬Je, Dully Sykes ni Mwanzilishi (Pioneer) au ni Mlezi aliyeupa muziki huu mwelekeo?👇 #DullySykes #bongoflava #BBCSwahili #30yaBongoflava #insideoutz

INSIDEOUT TANZANIA
INSIDEOUT TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 14:40:47 GMT
5907
283
14
5

Music

Download

Comments

arushaleoleo
kingkola@chuganation :
YEYE KAUKUZA ALIOUANZISHA N FEROUS WALIOFUKUZWA NA MAJANI WAKIAMBIWA WANAIMBA KASWIDA ILA MIKA MWAMBA ALIVYO WAPOKEA KINA FEROUZ NA KUWAPIGIA MAMBO IKAWA POA ILA KUFANYA UKAPENDWA NA MASHABIKI DULLY NDO SABABU
2026-08-31 20:23:01
2
kadigaali447
Kadiga Ali :
Ukweli umeshajulikana,taji letu tunalipeleka kwa daznunda
2026-09-01 05:52:59
0
user4442748124120
Philip Raymond :
kwahiyo hip hop sio kuimba?
2026-09-01 09:38:03
0
felician.japhet
manywele :
rnb imekufa hapa bongo
2026-09-01 08:18:05
0
user927054466063
evance luhakana :
astudanganye syo yeye alieanzisha ni daz nunda
2026-08-31 20:27:02
1
pastormwakyembe
Pastor Mwakyembe | KINGS TV :
Sawa, ila hukuanza wewe bali Daz Nundaz #Ferooz
2026-08-31 21:10:42
1
halifa.saidi4
Halifa Saidi :
Apo sasa ndonimemuelewa dully 😀
2026-09-01 01:37:32
0
user4442748124120
Philip Raymond :
kwahiyo tunapo sema miaka 30 ya bongo flavor watu wa hip hop wamevamia?
2026-09-01 09:39:14
0
phares.gervas
Phares Gervas :
Duly ndio alisababisha nikapenda kusikiliza music
2026-08-31 14:59:41
1
mgaya361
mgaya :
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/733825
2026-09-01 01:45:01
0
xomb1e
żömbïë :
dully
2026-08-31 14:46:27
0
shukuthedon2
shukuthedon2 :
🥰🥰🥰
2026-08-31 15:51:54
0
amrysagamiko
Amiry Chegamila :
🥰🥰🥰🥰
2026-08-31 23:19:31
0
beltonwambura
+255 :
@Official-MissLee8
2026-09-01 09:07:37
0
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About