@john.herbalist04: Acid ikifika kooni mara kwa mara inaweza kusababisha kuwasha, sauti kubadilika, kikohozi na maumivu ya koo. Usipuuzie dalili—shughulikia chanzo cha reflux. #AcidReflux #AfyaYaKoo #GERD

Herbalist John 04
Herbalist John 04
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 14:42:04 GMT
8834
175
16
21

Music

Download

Comments

silentone530
SilentOne :
nko Kenya ntasaidikaje
2026-09-03 22:17:35
0
user6178271085313
Mkapa Peter :
doct unapatikana wapi
2026-09-05 04:30:13
0
namwanja68
namwanja :
Mimi yanitesa koon nipo oman
2026-09-03 08:39:52
0
pastor.samwel.step
pastor samwel stephano :
asante
2026-09-01 08:47:32
1
nadinejedidiath
nadinejedidiath :
Ndiyo kabisa mimi inanifunga chingoni
2026-09-02 19:07:25
0
user59875543654630
user59875543654630 :
Asidi au hasidi
2026-09-06 15:18:40
0
sheyla_mfiney
sheyla Mfiney :
doct pantotab inaweza kumaliza acid au kunadawa nyingn maan mm nimevimb kweny koo
2026-09-04 12:40:31
0
strong.gal0
STRONG GAL: :
mi nikiamka mate huwa makali dana
2026-09-05 20:23:30
0
user81326176782190
besty bean :
makohozi mara kwa mara
2026-09-06 03:55:15
0
mwichebon
mama gwamaka/Nuruh 🇹🇿🇿🇲 :
unapatikana wapi unisaidie
2026-09-03 06:37:09
0
user8841991590068
user8841991590068 :
mnipe basi dawa ya kutoa hayo makohozi jamani au hayatoki Tena?
2026-09-02 07:10:08
1
linahbayi
linahbayi :
mmh mi nilichukua dawa zako lakin haikunisaidia bos nimekosea wp kwan
2026-09-01 16:36:07
0
arche2723
arche2723 :
Dr sasa dawa
2026-09-01 11:01:45
0
strong.gal0
STRONG GAL: :
mate huwa makali sana
2026-09-05 20:23:49
0
user9875942551667
justine safari :
🥰🥰🥰
2026-09-01 09:39:41
1
To see more videos from user @john.herbalist04, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About