mmeona haka katabasam au niache kehehere😂😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-01 12:22:12
1
@Suzana.said2 :
nipigie mdog wang
2026-09-01 18:33:45
0
Farshana🎀 :
Hongera Naomi love uu 🥰
2026-09-01 10:34:07
2
Monalisa❤️🫶 :
Hongelaa jamani msanii wetuu ❤️
2026-08-31 22:03:00
9
Joycesingano :
hongera mwaya kipenzi cha watu
2026-09-03 13:50:01
1
official nah :
Jaman bonge la Sautii❤️❤️❤️
2026-09-01 06:18:59
4
Gee🥰🤠 :
mungu akubaliki mdongo wangu
2026-09-01 16:37:11
0
Neylixa :
Mimi nakuomba Mungu huyu mtoto atakapokuwa awe mwenye busara na role model kwa watu wengi kwasababu watu wengi wanamtazama Mungu ambarki sana hata kwenye kushindwa asikate tamaa natamani sana siku Moja historia yake isomwe kama Mtu mwema nasema haya kwa Sababu watu wengi tukifka ujana tunabadlka sana
2026-09-01 09:01:05
9
@Suzana.said2 :
pongez mdogo wang mungu akutetee katika masomo. yak pia akusimamie katika mitihani yako ufanye vizuri nakutakia.mtihan mwem pia ns ufauru mzuri msaani wang mdog wang wa mwisho
2026-09-01 18:30:33
2
Bless :
YANI MTU ANAMALIZA LA SABA NI STAR DUUH
2026-09-01 10:47:43
3
cessie🦋✅ :
Shule ang jomn nmesomaa vjibwen🥰🥰🤌🤌
2026-09-01 18:07:09
1
anna :
Mimi apa
2026-08-31 20:17:39
3
Tan seven :
amani
2026-09-01 08:08:09
1
mrs.k.ya :
mungu akubarki mdogo wangu hadi jina
2026-08-31 21:01:43
2
Robert philimon :
😃huyu anakipaji cha kuimba
2026-09-01 13:00:14
1
To see more videos from user @123jacque18, please go to the Tikwm
homepage.