@madamemmiy0: #creatorsearchinsights #fyp #religion #christiantiktok

Wisdom & Grace Ministry
Wisdom & Grace Ministry
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 14:45:40 GMT
9218
405
84
30

Music

Download

Comments

graced.girl
Graced Girl 🌸🤍 :
Say it louder🙌🏻
2026-08-31 15:09:25
1
user4167315493939
Luka John :
Dada uko sahihi hakuna mtu simuelewi kama mlokole
2026-08-31 17:02:31
10
ohm3111
OHM :
Very true
2026-08-31 17:46:44
0
happysiwakamil7
Pinky :
😁😁Ila mkumbuke huyo Shetani alikuwq na uwwzo wa kuishambulia mbingu hivyo shetani siyo wa polepole mwanetu
2026-09-01 04:41:07
1
user9099380856177
Richard Medson :
nitakuwa nakuftilia Maana Yesu amekujalia Maarifa ya Neno lake Yesu akutunze sana kwa ajili ya kuujenga Ufalme wake. Nimekulewa sana Dada.
2026-09-01 04:50:05
3
mbilinyi71
Mbilinyi✍️📖 :
hayo ni maoni yako,
2026-08-31 16:50:42
4
user51371900160
neydamian :
najua kuna watu wataipinga hii ☹️lakin umeongea ukweli mtupu barikiwa sana
2026-08-31 15:39:32
5
lycer.accessories
Lissa❤️🦋 :
yaan you said it All Tukimuelewa huyu Mungu vizuriii wala hatuwezi kuyumbishwa😁📌
2026-08-31 16:25:23
4
doreen.mangasi
Doreen Mangasi :
dada akili nyingi Sana.barikiwa
2026-08-31 18:32:05
3
mjuni50
Counsellor John :
Imebidi nikufolow bure maana uko katika ulimwengu ninaouamini I wish watu wajue Mungu yupo ila sio kwa njia hizi za utapeli
2026-08-31 21:22:33
2
mwl.nathaniel.deus
Mwl Nathaniel Deus :
KWELI KABISA mimi huwaga NASEMEGA hiki ila wanatuita Wapinga Kristo
2026-09-01 04:12:07
2
khehate
khehate :
I'm Rev, uko sahihi. Nimekupenda
2026-09-01 03:42:32
1
eva.nyanda
Eva Nyanda :
Wapendwa wangu kwenye haya yote tumsikilizeni Mungu Roho mtakatifu,maana hizi ninyakati za mwisho.
2026-09-01 09:36:01
0
tinnah.bel
Teeny❤️🦋 :
Mamy hivi unafanya pia na huduma ya therapy??as in counseling
2026-09-01 07:12:26
0
amandimissy
Amandi Missy :
Ongeza sauti mama................. nakuelewa sijui nshaasi😅😅😅😂😂😂
2026-09-01 07:54:44
0
user1707672202252
user1707672202252 :
usiseme walokole sema wakristo wengi
2026-09-01 05:51:02
0
noveen_aparrel
Noveen Apparel :
kwa namna fulan uko sahihi. ni kama mtu anayeamini ushirilina pia. kila jambo analopata maishan anaona karogwa bila kujitazama yeye binafsi ni mahali gani ameshindwa kuwajibika kikamilifu ili kufika level fulan ya maisha. Maombi na uwajibikaji ni vitu ambavyo inabidi viende pamoja ili kutuvusha kwenda level nyingine!
2026-09-01 04:37:00
0
stevendaza961
Mtoto wa mchungaji :
Umeegemea ktk ukweli
2026-08-31 17:02:08
0
petro.hagire
Petro Hagire :
na wasiyo walokole.wao vipi
2026-08-31 20:34:48
0
elizabethmlelwaninegmail
user5861665869092 bi FCU zoo D :
Ahsante ahsante sana nimekuelewa🙏
2026-09-01 18:38:34
0
janengaga402
Jane Altar :
uko sahihi.Nakuelewa sana.
2026-09-01 16:52:06
0
jeremiaezekieli93
Jeremia Ezekieli :
nimekuelew isipokua nikuulize swali je unaamin shetan yupo
2026-09-01 16:50:50
0
shidaeias
Prisca :
Nina shida na ww plz nitafute
2026-09-01 16:00:03
0
georgebayona8
Lizzy issa :
uko vizuri dada mungu akuongezee maarifa zaidi
2026-09-01 15:04:04
0
emmanuel.enock.be
Emmanuel Enock Benjamin :
👏
2026-09-01 18:16:08
0
To see more videos from user @madamemmiy0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About