@user7717347668185: Ikiwa katika biashara zako unaona kama unchezewa ima pesa faida hauioni na unafanya biashara vyema tu, Au unahisi kuna mtu anakuja kuichezea biashara yako basi soma kisomo hiki katika biashara yako hasa hasa siku ya ijumamosi ni bora zaidi ima asubuhi au saa 8 mchnaa huku unafusha Fusho hizi Udi naddi ,miski nyeupe na Anbarul ikiwa kweli kuna michezo utamuona adui yako anavyodhalilika na ikiwa anatabia ya kuja hapo basi kama kaja na ubaya atakutana na pigo zito ambapo anaweza kudondoka hapo hapo ni moja katika hijab kali na zenye nguvu kwa kila adui hasa wenye tabia ya kutia michezo katika biashara za watu. ukiwa na ni thabiti fanya kwa ni ya kweli nausiwe ni mwenye khofu majibu yake ni Ayana kabisa