@kipaza_afrika_mashariki: 🇹🇿🚆 Ujenzi wa Lot 5 ya SGR Isaka–Mwanza umefikia asilimia 69.2, huku kazi za utandikaji wa reli na uwekaji wa mifumo ya umeme zikiendelea. Mradi huo wenye urefu wa takribani kilomita 341 ni sehemu ya njia ya SGR inayolenga kuunganisha Dar es Salaam na Mwanza. 📈🚄 🎥 Tazama video kufahamu zaidi.
Kipaza cha Afrika Mashariki
Region: NL
Monday 31 August 2026 15:00:38 GMT
Music
Download
Comments
Che :
Mchina?
2026-09-01 04:52:28
0
Million Dollar :
Kama pesa zipo ; materials yapo na ma injia wapo kwanini ifike mpaka 2028??
2026-09-01 09:14:35
5
Ngonifaceless channel :
Afadhali muoneshe maana Heche anasema SGR imesimama haiendelei, bora watu wajionee kama hivi
2026-08-31 16:05:52
3
More Fire :
kuna nchi jirani karibu na namanga watakasirika
2026-09-01 14:41:22
1
user1261345336987 :
Mama Samia piga kazi...
2026-08-31 21:42:54
4
kipidu255 :
2026-08-31 18:13:46
3
Richard....m :
Lakn kuna story nilickia et kukamilika had 2030😉
2026-09-01 16:18:21
0
Anonymous~ :
umesem MpK ifikapo 20ishirini na ngap vile 🤣😂
2026-09-01 05:56:44
0
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
mpaka 2030 itakuwa haijaisha
2026-09-01 16:20:26
0
Ali sykes :
Mama ni kiboko! anapiga kazi kimya kimya
2026-09-01 10:13:33
0
myovela dracula :
Hii ndio michongo
2026-09-01 03:34:27
1
To see more videos from user @kipaza_afrika_mashariki, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.