@islamicswahilinet: UKIPATA MSHANGAZI JITUPE "Mwenye kujenga msikiti kwa ajili ya kumtukuza Allah, Mwenyezi Mungu atamjengea nyumba ya dhahabu peponi." Huu ni wakati wa kuwekeza kwenye nyumba yako ya milele.​" Kila Tofali, mfuko wa saruji, na kila shilingi unayotoa katika kukamilisha ujenzi wa Nyumba ya Allah UTENGULE, WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ni sauti itakayokutetea mbele ya Allah.​Usikubali fursa hii ikupite. Inunue pepo yako leo kwa kile kidogo ulichonacho kupitia: 📱 M-PESA: 0769 756 490 📱 YAS | MIX: 0715 868 990 📱 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 15:08:53 GMT
47716
4276
114
823

Music

Download

Comments

ummu.ibrahim91
Ummu Ibrahim :
ila silipendi jina la mshangazi...hata bibi Khadija kuitwa mshangazi haikai vizuri heshma kwa wake za mtume
2026-09-01 03:06:08
25
marwaan.alhabashi
Mar'waan Alhabashiy :
Kuweni na Adabu mnapowazungumzia wakeze Mtume Muhammad. Neno mshangazi halikai sawa kabisa mcheni Allah
2026-09-01 06:04:42
10
saphinahamis
saphina23 :
subhannah llah
2026-09-01 06:11:39
2
fatumamringo
fatumamringo :
Shekhe,Shekhe mi ni mshangazi tayar namtafuta mjombazii akuje itaanguka naee InshaAllah🥰🥰
2026-09-01 09:22:40
2
asha13826
A❤️ s❤️ H❤️ A :
mishazi jamani waelewa
2026-09-01 09:15:29
1
lebneadrus
lubna shariff :
Asante shemegi
2026-09-01 08:25:39
1
asha_613
user1135494978360 :
hhhh
2026-09-01 07:38:28
1
user7146177134688
Hon mlaula :
it is wrong calling mke wa mtume s.a.w mshangazi wee kuwa na adabu tumia lugha njema
2026-08-31 21:06:47
9
hamzaibnusiradji
hamzaibnusiradji🇧🇮🇦🇪 :
Daah mtihani kweli
2026-09-01 07:24:18
1
mmongoli.og
Mmongoli og🇹🇿 :
"Enyi mlio amini! Wala watu wasiwadhihaki watu wengine,huwenda hao wakawa bora kuliko wao...wala msitukanane kwa majina ya kejeli/majina mabaya.Ni uovu mkubwa kuitwa jina la uovu baada ya kuwa na imani."(Quran 49:11)🥺
2026-08-31 23:49:37
6
zulekhat02
zulekhat :
jmn hii mshangazi siipendi,namutume kwatuambia tuitane majina mazuri,yalee tunayoyapenda
2026-09-01 07:48:11
1
nasra.yanga7
😭nasra 🖤🖤🫀🤦😭🙏 :
atimae sheehe kawafikia mishangazi
2026-09-01 06:04:27
1
hawamohameed356
Hawa mohamedi :
ajabu ya rahamani walah 😂😅😅
2026-09-01 05:56:51
1
ibrandmsami
Ibrand msami :
kwaeshima sana sheewangu
2026-09-01 05:55:39
1
kasukakushaha
Kushaha :
kweli kabisa
2026-09-01 02:55:10
1
jumahassanmusagmail.com
dembele :
kuna nn tena
2026-09-01 08:18:54
0
abeid225
Abeid🇹🇿 :
Ushaur wa maana
2026-09-01 00:13:51
1
issaclassicking23
Issa classic king🫅 :
mishangazii upoooo wpi🥰
2026-09-01 01:51:18
1
shakuru_tv
shakur_tv :
Sio lugha nzuri Kujisemea Mtume Alianzia Kwa Mshangazii
2026-09-01 07:12:24
2
zudin254
Mimi Ndio Sifuna :
msioverthink
2026-09-01 01:14:53
1
abdullnurbillhussn
Abdulnurbilhusni :
shekhe wng umekosea sana ummul muuuminina kumuita mashangaz hiii sio sawa
2026-09-01 05:19:14
2
www.tiktok.com.mud
Rich kidd 💫💫💫 :
Shehe hii njia naifata
2026-09-01 01:27:20
1
sam.workouts.diani
Sam blackson :
mishangazi piteni huku
2026-09-01 03:40:23
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About