@meerdesigner: BIBI 2#

🎀Meerhayna collection🛍️.
🎀Meerhayna collection🛍️.
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 15:11:33 GMT
42117
1653
49
214

Music

Download

Comments

nisa59546
lisa saloon 🦋 :
Umetisha sijawah Ona mwanetu 🥰🥰😂
2026-08-31 17:22:43
36
zuusavage1
C.E.O zuusavage1 :
sijawahi ona tangu nishuhudie Mitunzo mmeweza
2026-08-31 17:40:08
36
_iam.grace.ful
gracey_ful✨ :
hapa wajenge tu
2026-08-31 20:40:29
4
maria.stephen51
Maria Stephen :
we biharus jamani sio kwa vitu ivo
2026-08-31 16:47:39
2
sitymussa7
REY :
friji🙌🙌
2026-08-31 21:31:14
0
stellakawiyinjama
stela kawiyinja :
for me sasampa ingekuwa poa sana
2026-08-31 17:35:24
5
itc_.noor
🌸_ms_norah_🌸 :
Hapo wachawi km nawaona hapo roho juu zinataka kuwatoka, usiku kukuwekea kikao lazima! Ila wanga jmn aallah atulinde. Mashaallah Hongera🥰
2026-08-31 20:55:10
1
bbyaggy1
babeagy ♍️ :
mh hatari
2026-08-31 20:44:20
0
mwanamkasibondemf
mwana💗💗💗 :
jmn mashallah
2026-08-31 20:11:43
0
slimgirl926
slim girl🍀❤️ :
shuhuri ikiisha tu naita guta tukutane kwa pm furniture kwenda kubagain nijiuzie zangu nipate hela mie
2026-08-31 21:05:22
0
ryan717083
zennah😍😍 :
na nyumba kapewa co upy watoe wenyew kwa kusubili wapate nyumba kubwa😂😂 hongera lkni
2026-08-31 17:28:36
0
frazia.willium
Frazia Willium :
Aloooh huyu ameweza 🙌🙌
2026-08-31 18:06:48
0
rajabhalima755
kuruthumu omary :
mm.nyumb nnyo njooo ukae dad🤣🤣🤣
2026-08-31 20:30:54
0
f2a811
f2a8@#11 :
jamani mahari za siku hizi zinatendewa haki zamqni ilikuwa inagawanywa mwali unaambulia ndala na doti ya kanga
2026-08-31 18:11:00
0
bbyaggy1
babeagy ♍️ :
hapa una kuta mama mtu ni mama shughuli anajua kujitoa kwa watu
2026-08-31 20:44:50
0
nargis9663
nargis doughter :
yani hapo akinipa talaka namwambia kanunue shangazi kaja nikuekee nguo zako usepe😂
2026-08-31 20:18:18
0
irene.joseph66
mama💞 sumaiya❤ :
Hii kufuru
2026-08-31 17:11:08
0
raah_710
Raah :
siku ukigombana na mume anaondoka na shangazi kaja lake tuuh hadi raha😂😂😂
2026-08-31 20:29:54
1
mom_ray21
nonchalantly :
apa taft tu nyumba
2026-08-31 17:59:07
0
didahmotion
D🍒 :
@Mkono wa Dhahabu🫳 @Da nuh🌸 bila hivi mm Sitak😂😂😒
2026-08-31 20:45:12
0
fertty.arsh3
Fertty Arsh :
@Rahma Wa Mzome unataka niolew utaniletea kama hiv au
2026-08-31 17:17:35
1
reycollection02
rey collection tz :
@diddah collection bila ya hiv sikubali🤣
2026-08-31 18:04:23
0
safinkind1
NKINDI COLLECTION 👗 :
@official tridaa bila hivi sitaki🤣🤣🤣 Uje harusi yangu 🤣🤣🤣
2026-08-31 20:42:07
0
aishajuma209
Aisha jay :
🥰🥰🥰
2026-08-31 16:49:59
0
To see more videos from user @meerdesigner, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About