daah kaka inabidi nipate tu teammates 1vs 4 siwezi🙌🙌
2026-08-31 22:40:32
0
abdulazizgaming :
big fans 🥰
2026-08-31 15:34:02
1
VIP_YUZAN :
GUYS NIMEKOSEA KUONGEA MWISHO NAAMANISHA PEEK SIO SCOPE😁
2026-08-31 18:21:15
8
John tell :
wa kwanza Leo
2026-08-31 15:29:16
1
AZNEE_himself :
una tudanganya mzee apo mwanzo ulieka peek & open scope off.. mara ya pili kweny ku hold ume rudi tena apo apo kwenye peek badala uende kwenye scope setting
2026-08-31 22:32:31
2
Luqman ✨ ❤️🩹 مان ١٢ :
Hii ya ku pik na scoup mbn ndo nzur bro au meniona vibay
2026-08-31 15:31:18
0
^☆6locc~6a6y☆^ :
big fan broo nakukubali sanaa🤝
2026-08-31 17:45:41
1
Alfieyuga :
Msinambie me ndo pekee natumia peek na scope pamoja😂
2026-08-31 18:08:56
1
🔐 ØFFÍÇÍÅL ÃZÅ BØÊ 🌹🫴🦁 :
hiyo Leo hiyooo 🔥🚀😅
2026-09-01 13:48:09
1
LG彡CRAZY :
sisi tulokua hatutumii gyro sasa tunafanyaje kua faster kwenye peeks 🥲
2026-08-31 17:42:17
1
DLS26 dog beka :
umetisha🥰🥰 hap kak
2026-09-01 10:47:17
0
jaha jr :
tupe darasa
2026-09-01 11:25:10
0
Harith :
kunavitu ume nichanganya ume zima open scope wile peek lakini mwisho izo sitings zako zinaonyesha umeiweka on
2026-09-01 11:40:21
0
Polite :
ww pic up yako unatoa na scope au hutoi scop
2026-09-01 03:04:57
0
Xinxy :
2026-09-01 05:48:38
0
FUTE GANG🌟 :
bro swal la sentivity elekez jinsi ya kutengeneza tuache kuomba code Kil siku
2026-08-31 20:22:40
0
ᴍᴏʜᴀمد🇹🇿 :
2026-09-01 01:39:31
1
🔥magorofa 🏋️🥷💯 :
mimi nakukubali 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-31 22:20:20
0
Kidilu_sk1💥🍀💦 :
next setting plz bro🙏
2026-08-31 15:31:33
0
To see more videos from user @vip_yuzan, please go to the Tikwm
homepage.