kwaiyo unashauli watu wafe bila watoto kwa upande wang siwez kufa bila mtoto et sababu ndoa jamn saiz ndoa amna na ukipata ni bahat yako na unaweza ukazaa na mtu ambae ajaoa na akakutelekeza na akaoa mke mwngne apo inakuwaje
2026-09-05 16:02:59
1
Djami_Queen1 :
tendo ndo haramu ila mtoto siyo haramu mtot ana barak zak ndo ishatokea ss jamen
2026-09-01 12:07:37
3
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm
homepage.