Wewe umesema ety miaka Elf 3 iliyopita, kumbe tuko past
2026-08-31 19:41:10
5
wewa official5 :
hapo ndugu umeleta mchanganyiko na na na wengine wanamaana ya no afu kwan kuna kosa gan ata uyo nana kuabudiwa c ni mungu kama mungu wengine
2026-09-01 00:48:47
2
Walter Jr :
Kwahiyo nyimbo ya Dj Snake ft Justin Bieber ilitoka 2010?
2026-08-31 22:48:30
1
Caesar Sozé 21 :
unatupanga, kwa hiyo Drunk in Love nayo ni ya 2010 😂😂😂😂
2026-09-01 08:23:33
1
DJ DANRICH :
Man U wako na Onana ndio maana walipiga 5-2
2026-09-01 10:28:27
0
Bob Hans new season :
ehe wote wameenda imebaki nanasi sasa 😎😎😎
2026-08-31 18:21:11
4
Guy_ngston :
nakubali kweli kabisa 🇨🇩🇨🇩mimi kuna wakati niliishi na jini anaitwa nana.
2026-08-31 21:45:59
1
zekake225ê :
ona na na na uwe baraka uwe baraka utokapo..... nauingi hapo 😁😁🙌
2026-09-01 09:36:47
0
JIMMY :
Hata Diamond plutnumz aliimba ooh nana...Huyu alikuwa Sumerian Goddess akiitwa Inanna..walizaliwa mapacha na Erishkeegar...watoto wa God Nanar sin...Inanna alikuwa mjukuu kipenzi wa God of the Sky ENLIL....Inanna alipendwa sana kwa sababu yeye alikuwa akiamini kwamba amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga...Erishkeegar yeye aliamini amani haiitaji ncha ya upanga ndipo ipatikane. Hivyo basi mapacha hawa walikuwa hawaelewani kutokana na mitazamo yao...
Erishkeegar akaamua kukimbia na kujificha maeneo ya underworld, kifupi Ardhini kwa kujenga bunkers......
2026-08-31 18:08:55
3
THE IRGC NAVY :
mbn hiyo ya uungu wa yesu ujaielezea apo no:2 apo juu kidogo
2026-09-01 10:14:04
0
Dylanic :
O nana o nana o nana diamond huyo
2026-09-01 01:01:34
1
albeto kanakujakuja vile😎😜 :
nana😁
2026-09-01 09:49:17
0
OBY SANTOS :
umemsahau mond apo
2026-09-01 09:41:01
0
SHEBE GWIJI :
ATA MSANI WENU DIAMOND ASHAGA IMBA NANA. OOH NANANA
2026-09-01 08:02:04
0
Young Mill Mill NATIONAL MUSIC :
adi diamond aliimba
2026-09-01 07:10:08
0
JAX_MAN :
tu mie link au Whatsapp namba
2026-09-01 11:19:07
0
King 👑 never be with me 🔭 :
ata comment ziwe na na
2026-09-01 09:30:43
0
joseph mwasile :
kumbe
2026-08-31 16:43:27
0
Rugaam mocp :
onana
2026-09-01 08:17:14
0
g marash :
duu
2026-08-31 16:31:19
0
To see more videos from user @mm.makaveli, please go to the Tikwm
homepage.