imeisha iyooo kuanzia leo nakaa jukwaa la simba nitafute mke😂😂
2026-09-01 06:16:29
6
💞zaynab🥰 :
me naipenda yanga mpaka ikifungwa tofauti na malengi yangu nahisi kama kukata pumzi maumivu wanayo yapitia simba miaka5 bila kombe harafu viongozi bado walewale ningekya ndio mimi ningekua2 kama ASENAL😂
2026-09-02 08:12:42
0
MACHEBO_SCOMBISO 👀 :
wana yanga wote 2juane kwenye like apah yanga bingwa 💛💚💛💚💛🔥🔥🔥🔥 wananchiiiiiiiiiiiiiiii
2026-09-03 03:26:01
0
rofine Michael :
mimi na olewa na simba mwenzangu ili tuvumiliane
2026-09-03 04:40:30
0
Daudi Mashiku :
Naitwa magembe ni muzaji wa mahadiwea
2026-09-01 13:12:42
0
ADMIN FOR THE WORLD :
naomba unishushe
2026-09-01 17:09:51
0
Pab :
Yaani bila kuwasema Simba hakika hamtaweza kuishi daima,Simba baba laooooooo na mtàbaki kuwa watoto wa Simba milele
2026-09-01 17:13:43
0
chepo paul :
😂😂😂😂😂😂 I wonder
2026-08-31 16:05:58
0
capri boy :
big
2026-09-01 13:27:14
0
Kingbudebha Hodi :
Holo nalo neno kabisa
2026-09-01 19:43:38
0
🥀 Eunice 🥀💝 :
ila yanga yetu mungu anatuona yangaaa bingwaaaaaaa 💚💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛 safiiiiiiiiiii