Ya Allah,Start this September with Your Rahmah, fill it with Barakah, and end it with Alhamdulillah.
Ameen ๐
2026-09-01 06:40:56
0
shuu@ :
Ulinzi dhidi ya radi ๐๐๐
2026-08-31 23:03:41
15
Shofweli๐ :
Barabara ya kimara- Ubungo haikamiliki mwaka wa sita huu alafu skia izo budget daaah Tz kikubwa uhai
2026-09-01 03:29:17
14
Fadsam :
huwa najiuliz hatuwez kuwa Kam china,??
2026-08-31 20:47:07
7
Yusuph :
soon utasikia redio imefungwa
2026-08-31 21:07:49
4
Kobe traveler. :
wapigaji hawachez mbali nafursa
2026-09-01 14:46:16
2
simbaa :
nchi inawezi so poaaa
2026-09-01 07:47:03
1
rocious :
Daaah
2026-09-01 08:28:20
1
Ammar :
Sikieni hii ya mwisho
2026-09-01 07:17:40
1
user5114786354377 :
๐๐๐๐daaah ko radi zitatupiwa hela au zitafanywaje zisije
2026-09-01 07:17:15
1
Dr.Sikamona :
hahaaaaa!! huo ni UANDAAJI TU, VP HAMJAPIGIWA CM MSHUSHE HYO TAARIFA
2026-09-01 09:06:10
2
Dionisi Mateo :
๐คฃ๐คฃ๐คฃat wew ungeweza
2026-08-31 20:42:45
1
Florid Fidelis :
au wata pewa kesi ya uchochezi au uhaini
2026-09-01 08:14:17
1
Benjamin Komanya :
kuna watu wanamhujumu raisi ili wananch wamchukie kabisa
2026-08-31 19:01:24
1
wuwuw166 :
kuokoa nn ?au mm nimeelewa vibaya
2026-09-01 08:32:04
0
Half-cast :
Niliposikia homa la bonde la ufa nilichoka๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-09-01 09:32:05
0
majogoro junior :
diamond kaa na awa watu tafadhar bado tunakipenda iki kipindi na radio kwa ujumla
2026-09-01 01:45:10
0
ericktemu26 :
namba muuliza ivi nchimbi anakabizi lini office kwa makamu mpya, au akuna iyo
2026-09-01 05:41:49
1
Junior 14 :
Ah tatizo hamjui kitu kimoja bajeti ya taifa ya udhibiti wa majanga kwa mwaka inatumia 300B kwa policy objective moja na izo objective zipo 5 so apo ni 300x5=15Trillion kila mwaka this is working under the PMO ๐๐ km hamjui
2026-09-01 12:19:21
2
suby :
Mungu atusaidie El nino isiwepo !
2026-09-01 04:59:21
1
dula kupaza :
hiinchi mpaka radi inaandaliwa bajeti duuuu
2026-09-01 13:58:29
0
happchety :
me kicheko Cha uyo msoma taharifa ndo kinaniacha hoiii๐๐๐๐๐๐๐๐
2026-09-01 15:15:55
1
Pawatila Tz :
Aiseeeee
2026-09-01 16:15:22
0
To see more videos from user @nyangema77, please go to the Tikwm
homepage.