@emanuel_walwa: Je, unajua kujenga nyumba na kuishi ndani yake kunaweza kuwa 'liability' badala ya 'asset'? 😱 Watu wengi wanakimbilia kujenga kabla ya kuweka misingi mizuri ya kifedha na kujikuta maisha yao yameharibika. Mtazamo wa matajiri kuhusu kujenga nyumba ni tofauti kabisa! Kitabu cha MAISHA NI ZAIDI YA CHAKULA-Engineer Kabenda kinapatikana kwa mawasiliano-0779928867 🔔 Subscribe na Tazama video nzima YOUTUBE SCCULT ONLINE TV #PawaPod #ElimuYaFedha #KujengaNyumba

Emanuel Walwa/Pawa Pod
Emanuel Walwa/Pawa Pod
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 31 August 2026 16:19:35 GMT
76270
4285
220
211

Music

Download

Comments

mahame2.com_tz
mahame :
Maushauri ni mengi... fanya vile unavyoona mipango yako iko vzr .. tujenge wanangu pesa huja na kupotea...
2026-09-01 06:01:11
37
david.myalle
David Myalle :
Jenga uwe na kwako
2026-08-31 18:11:45
8
jack.ma6983
Jack Ma :
Hivi mnajua tabu za kupanga nyumba jamnii
2026-09-01 05:46:08
9
iamfinnesboe
whsfinnest :
NAWAMBIAGA VIJANA KILA SIKU MTU ANAOTEA MILLLION 20 ANAJENGA KIBANDA BAADA YA KUWEKEZA😂
2026-09-01 10:19:18
9
dick.da.prince
Dick da prince :
tulio jenga ndio tunajuw anacho zungumza huyu
2026-09-01 02:04:10
8
ki.m017
ki.m :
fainal uzeen
2026-09-01 18:39:55
1
kelvin_mveti
kelvin_Mveti :
Kumbe na mimi ni tajiri sijajenga bado😅
2026-08-31 18:46:20
5
user8763323540435
user8763323540435 :
Tajiri gani hana nyumba?
2026-09-03 20:21:17
1
am_pseudocode
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
Hiyo ni kwa mtu ambaye hana cash flow... amepata pesa ya zali la mentali... kama una cash flow nzur jenga...
2026-09-02 15:36:45
1
hamada.salumu.mbu
Hamada salumu mbukuzi :
nyumba ni assets father na ukitaka liabilities unaamua wewe mwenyewe . ukijenga nyumba na kupangisha unaweza ukapata mara mbili ya mshahara wako bro na matumizi mengine bro Sasa kwann tusijenge nyumba na mshahara unao. liabilities na assets . lazima uwe na assets, mfano biashara,nyumba ya kupangisha na sio nyumba ya kuishi wewe mwenyewe. so unaweza ukatajilika kwa assets na sio liabilities
2026-09-07 07:02:02
1
crystalrhymesofficial
crystalrhymesoffi :
sio kila unachowekeza kinazaa
2026-09-01 16:53:43
1
moreentokyo4
Moreentokyo4 :
kwahyo tuseke kwenye nyumba za watu ?
2026-09-01 15:20:49
2
erickmgimwa342
diga diga :
zinapoteaga kaka
2026-09-01 15:35:32
1
eugen.accounting07
Eugen_Business :
Nyumba ya Kupanga ni long term Liability, na ukiendekeza itakubakiza humo na hutasonga. maushauri mengine hayafai.
2026-09-04 19:05:17
1
fungoraymond
fungo jm :
acha kukatishaa watuuu tamaaa mungu ndo mtoajii pekeee
2026-09-03 10:04:22
1
user1831970859617
zamdy❤️🥰 :
watu wajenge kulipa Kodi utumwaa nyumb inadumu biasharaa zinakufaga
2026-09-02 19:17:50
1
user3740753443908
Agness magwila :
wawooooo ♥️♥️♥️♥️♥️♥️baba kunywa soda
2026-09-01 15:29:03
1
sister.p__
pili :
nimecheka mpaka kinena kimenicheza
2026-09-02 05:39:51
1
salumu.madagaa
salumu madagaa :
kupanga n rahisi kuliko kujenga yani chumba unipa elf 20 nikiwa na milion 20 nakaa mika mingapia jaman c mpaka nakufa kabsa il ukijenga unatumila milio 100 na unakufa unaiacha sijengi mimi niko pamoja na ww
2026-09-01 18:47:51
2
paschalaman
b.boy :
mim nmalize na kusema hera yangu usiipangie cha kufanya nmetafuta mim kwaio nachokifanya mim ukiona nichakijinga pambana na hali yako kila mtu na maisha yake tukiwa wote matajil nan atachimba choo cha mwenzake
2026-09-01 20:18:48
1
yusuphudaniel695
Yusuphu Daniel :
Mameno ya kuambiwa changanya nayakwako
2026-09-01 10:50:58
3
fogo.888
miss_Fogo :
kibaya ukiwanacho jaman😂😂
2026-09-01 12:32:24
3
muhamed.seleman.s
Muhamed seleman Sultan :
ukishajenga kwa kudunduliza ndio utajua azabu ya ujenzi
2026-09-01 19:51:41
2
manishadmoss
Mani shadmoss :
Point hii
2026-08-31 22:57:24
3
To see more videos from user @emanuel_walwa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About