ningeweka whatsap profile ila bado sjafikisha malengo[Big LOL][Big LOL]
2026-09-25 07:14:19
0
Junior@tz :
brother respect to you🥰
2026-09-25 11:04:27
2
🇫 🇷 🇦 🇳 🇰 🇩 🇦 🇩 🇮 :
this is what I do now🔥🔥
2026-09-24 16:49:27
1
user75158463510722 :
me naeka stts bhna liwalo na liwe
2026-09-25 14:29:48
4
FRaNk :
Msikilizeni mpoteze nafasi uko mnapofanya kazi.
2026-09-01 09:28:30
52
Officialman_18tz :
ukishindwa kujali hicho ulicho nacho na kukitunza Kwa bidii hata hicho unacho kitegemea hakitadumu. kila kitu ni mazoea ukizoea kujituma maisha yako yatakuwa hivyo vivyo hivyo ukizoea kupotezea na maisha nayo yatakupotezea🤔
2026-09-25 17:51:51
6
dungula123_1 :
Work smart with Discipline. Be humble, riziki ikiwepo hapo kaza okota ikiisha songa mbele kaokote kwngn. Hakuna unyonge
2026-09-23 09:59:36
21
GOATNEWS__FX :
Ajira ni utumwa
2026-09-01 09:11:25
11
maryaxel :
ningekuwa nimejiajili ningeweka status ila kwa sasa nipo kwa boss 😂😂😂
2026-09-02 07:34:24
17
__richardson :
Ukiipenda kazi yako hutokuwa na mindset ya hivyo. Fanya kazi kwa bidii na baraka zitakufuata ulipo.